Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,139
- 3,000
Mtu hajakukosea lolote na wala hana usumbufu kwenye maisha yako unadai umemchoka? Wewe jamaa ni mtu mshenzi mno kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia. Mimi nakushauri na wewe utafute mume uolewe kwasababu umeshapoteza sifa za kuwa mwanaume. Mwanaume hakinai hovyo. Au upo kwenye siku zako?
Mkuu kwanza nikupe pole. Matatizo yaliyo katika mwaka mmoja tu wa ndoa mara nyingi yanatokana na mmoja wenu au kila mmoja wenu kutokufahamu vizuri nafasi yake.Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Huenda ana sababu ambayo ni nzito lakini kwa kuwa kaamua kufanya siri acha na sisi tumjibu kwa kile alichotuambia. Labda huenda yeye ndo ana tatizo kubwa ambalo anaona ni aibu kwake mbele ya huyo mkewe.Hard comments, ila ndo imeshaenda hii. Wakati mwingine ni bora kukutana na hizi lugha kalikali. Naunga mkono, ingawa ameshindwa kutuhadithia historia japo kidogo.
Lazima atakuwa na maoni tofauti. Tujiunge studio kumsikiliza komredi Dronedrake.dronedrake unasemaje kuhusu hili 😅
Hukupata Mafundisho ya Ndoa!Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
shauri za kuoa sababu ya genyedronedrake unasemaje kuhusu hili 😅
Sikupingishauri za kuoa sababu ya genye
Nadhani unatakiwa umuone Mwanasaikolojia haraka iwezekananvyo. Au ujisalimishe hospitali ya wagonjwa wa afya ya akili mfano Mirembe Dodoma, au Lutindi Tanga.Nimeingia kwa njia halali kabisa, sikulazimishwa ila sina furaha kabisa. Nadhani unaelewa
sababu za kitoto toka kwa mtoto. ulipomuoa hao wanaovutia hujawaona?Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Kwer hii Dunia wagonjwa wa afya ya akili sio mpk wavue nguo isipo kua ata mtu ukitembea unaweza kuwa mental wew kwan kuna mtu alikuchagulia ktk kuoa uyo mwanamke mpk tukushauri jinsi yakukunasua kwenye hiyo ndoa acha uchiziHabari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.