naombeni mawazo yenu

Sio coinciedence kabisa... ulivyoelewa that is the way it is....

Alafu babu mbona nimepost kuhusiana na shosti wa cheusi... au hujapenda...lol
Ule ujauzito uliku kweli wa mtoto mmoja, ila tu mtoto ka evolve from Asha D to Ashadii...

Naomba matambiko yafanye haraka, na ripoti naleta haraka saaana..
na namba za simu nisha pm...lol

Sasa babu ameshaelewa.........babu ni slow learner ujue...:cool2::cool2:

Haya ukuje na ripoti moja kwa moja chumbani huku..... kumbe ulishafanyiwa tambiko wewe.....

Siku nyingine ukivunja ungo bila kumtaarifu babu, ntakubwenga makwenzi...

Now...back to topic.......... Nakutuma umwambie Cheusie naye akamwambie shosti wake kuwa amwambie kaka A kuwa anampenda kaka B ili maisha yasonge mbele....mwambie maisha haya ni mafupi sana, hatupaswi kuumiza nafsi zetu, chagua ile kitu roho inapenda bana. Atii kiu yake, avunje UKIMYA.........Usisahau kumwambia kuwa ushauri wa babu NI AMRI!
 
Asante babu... bora wewe slow learner, wengine sio learners kabisa hasa kama mnvi zimetanda...
Chumbani nakuja bila kuchelewa na sababu nina nafasi nzuri na bb hayupo (mjukuu wako kanidokeza),
naona nije nifanye na usafi kidogo na mashuka mapya ya nyuzi za Egypt... nikiambatana na faili lenyewe..

Ujumbe kwa Cheusi umefika!!!!
 
Hivi Egypt ndo kule kwa Gadaffi au kwa Hosni Mubarak.............. Si ndo kule kwa Cleopatra?

Ngoja babu avae makubazi na kanzu yake. Mjukuu asije akamfumania na msuli wake.
 
Hivi Egypt ndo kule kwa Gadaffi au kwa Hosni Mubarak.............. Si ndo kule kwa Cleopatra?

Ngoja babu avae makubazi na kanzu yake. Mjukuu asije akamfumania na msuli wake.

ha ha ha babu.... haijalishi kiongozi wake ni nani...
Kikubwa ujue ndo kwa Cleopa....lol...

Nisije pofuka please funga vizuri the msuli...
 
ha ha ha babu.... haijalishi kiongozi wake ni nani...
Kikubwa ujue ndo kwa Cleopa....lol...

Nisije pofuka please funga vizuri the msuli...

Hivi msuli unafungwa au unakazwa?.........Kiswahili bana dah!

Na kitakachokupofua ni msuli au kilichomo nyuma yake?

Afu we mchokozi kumbe eh?
 
It was for free.....next time I will charge tuition fee!

aaaah! babu wakati nakuja kufanya usafi room,
hakuna exceptions na mali yenyewe haijatolewa... mmh...
sawa nifanyeje... itatoka kwenye mfuko wa mjukuu wako...
 
mi nasema kuwa uyo msichana atafute mda na amueleze kaka B kuhusu urafiki wake na kaka A na kwamba hana
uhusiano naye, ila ana hisia na kaka B ili aone kaka B atachukua hatua gani

thanx,ila kwa ninavyomjua shoga yangu sijui atawezaje kumweleza B wkt bado huyo kaka hajamtamkia kwa maneno,si itakua kama yeye ndo anaanza kumongoza huyu kaka?
 
aaaah! babu wakati nakuja kufanya usafi room,
hakuna exceptions na mali yenyewe haijatolewa... mmh...
sawa nifanyeje... itatoka kwenye mfuko wa mjukuu wako...
Hivi hii room utaifanyia usafi kwa fagio za chelewa au utapiga deki kwa gunia?
 
thanx,ila kwa ninavyomjua shoga yangu sijui atawezaje kumweleza B wkt bado huyo kaka hajamtamkia kwa maneno,si itakua kama yeye ndo anaanza kumongoza huyu kaka?

Aaamue moja kutowapa wote lasivyo italeta ugomvi.
Lakini hapo hapo atakuja gia kuwa wewe unataka umpindue kwa kaka B angalia sana nalo.
 
Kama anaamua kumpa kaka B bora na kaka A nae apewe maana asinge mjua bila ya kaka A

Wote wafikiriwe mbuchuchu

dah, kweli kugawana ni kujali ,
na hili ndo nahisi kabisa linaweza tokea.....lol...
 
The power to control that iko vestesd in the shosti her self..
Wanawake tumeumbwa na a very strong female intuation for these things
hasa kama wahusika wako mbele ya macho yetu... Kosa alilolafanya shosti ni
kuacha mpaka mambo yanaelekea yako out of control kwa sasa (yawezekana
mwanzo she didn't mind the attention ya both kwake...)

Hata hivyo yeye kisha gundua kua anampenda kaka B, Simlaumu A kwa kumwaga sera
baada ya B kumwaga for guy wametofautiana.. inawezekana alikua anampenda na sababu
alikua nae close hakua na haraka mpaka A alipomwaga sera... Hata hivyo nashindwa kuelewa
ni kwanini A na B hawaja jadili hili suala for guys are good at solving nani ampate the lady!

Chakufanya tokana na mtazamo wangu, kwanza shosti ahakikishe kua B anampenda na
ana mpango nae,
akihakikisha hilo inabidi akae ki utu uzima na A kumueleza the situation
kana kwamba haja notice feelings za jamaa (mana naona hajamwanga sera wazi...)
Kua sababu yeye ndo aliwa connect anataka ajue kua they have feelings for each other...

Cheusimangala naamini wewe ni mzima...

dear asha mim ni mzima,hopefuly na wewe ni mzima,
asante kwa mchango wako,
shosti wangu ana uhakika kuwa kaka B hana nia ya kumchezea,bali A ndio anaonekana kuwa hana nmalengo ya muda mrefu na shosti wangu.
 
Yaaaani fidel nimecheka sana, kwa hiyo wapewe wote sio

Hahahaha Gaga unajua akipewa mmoja itaonekana mwingine kaonewa wkt yeye alikuwa wa kwanza kujuana.

Fikiria kipindi wanajuana na kaka A alafu kaka A akaamua kurusha ndoano si sasa hivi angekuwa anamegwa na kaka A.

Hapo hapo kaka A kamtambulisha kaka B kwa huyo binti alafu binti kakolea kwa kaka B yawezekana kaka A alikuwa anavuta pumnzi

Guiness ndio zaongeza yale mambo kwani? tuambiane ati tujue

Hahahaha hiyo Guinness haifikii Valuu hata kwa chembe zaidi zaidi unaweza jikuta unachezea mouse.
 
Back
Top Bottom