naombeni Maujanja kama haya

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
wakuu naweza vipi ku post caption ya screen???????
sijui nimeeleweka??
yani una capture display ya screen yako inakua kama ni picha na una i post labda kama una mpa mtu maelekezo, lets say unamwambia afungue folder flani, then afanye vipi, sasa unamwonyesha kwa hzo picha ulizo capture kwa screen
 
shikilia kitufe cha shift kisha bonyeza kitufe kingine cha print screen.ukimaliza hapo inakuwa umesha copy screen yako hivyo waweza paste utakapo.
 
kama unatumia windows 7 nenda kwenye search box na andika "snipping tool" Itatokea kwenye list then click, itafanya screen kuwa kama na kivuli, tumia mouse kuselect sehemu unataka kuchukua then save
 
Ndekirhepva likes all the contriburions, naona na press like hapa hii kitu ya googlel chrome inazingua, nashukuruni sana wadau
 
kama unatumia windows 7 nenda kwenye search box na andika "snipping tool" Itatokea kwenye list then click, itafanya screen kuwa kama na kivuli, tumia mouse kuselect sehemu unataka kuchukua then save
nimeanza kufanya mbwembwe na hii ya snipping tool naona mambo ni mazuri, thanx much mkuu
 
Nenda HAPA
Thred kama hiyo ipo utapata shule nzuri mimi nimejulia hapo kama inavyo onekana hapo chini

mafunzo.jpg
 
Huu ukilaza huu, natamani nijue haya maujanja lakini lugha mwanawane imenipiga kumbo........
 
wakuu naweza vipi ku post caption ya screen???????
sijui nimeeleweka??
yani una capture display ya screen yako inakua kama ni picha na una i post labda kama una mpa mtu maelekezo, lets say unamwambia afungue folder flani, then afanye vipi, sasa unamwonyesha kwa hzo picha ulizo capture kwa screen
Select window ambayo unataka kui-copy halafu kandamiza Alt key halafu bonyeza Print Screen SysRq, kisha paste sehemu unapotaka....
 
Select window ambayo unataka kui-copy halafu kandamiza Alt key halafu bonyeza Print Screen SysRq, kisha paste sehemu unapotaka....

hivi unaweza uka i paste kwenye comments hapa au unafanya je?
manake naona kama niki paste hai pestiki
 
Back
Top Bottom