Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,546
- 20,991
😀😀😀Wamehonga mtaji 🤣
😀😀😀Wamehonga mtaji 🤣
Hauwezi!Aise 1TB mziki wake utajaza vitu kweli humo?
Wadau wameshatoa miongozo ya maduka kadhaa, pia na mimi nitaje maduka ya Posta, yale maduka mbele ya yule Askari, kama unaenda posta mpya upande wa kushoto kuna maduka ya simu yamepangana pale. Uwezekano wa kupata simu OG pale ni 100%.
Iphone hawapo Tanzania wangekuwepo wateja wake wangepata simu zao halisi na pia kwa bei rafiki Nchi nyingi wana maduka yao ndio maana kupata simu zao zenyewe ni rahisi na pia bei ni rafiki mfano hapa niliona hiyo 17 pro max wanauza rand 28,000 kwa rate ya 165 bei yake sio kama hizo za Mjini na ni Iphone store wenyewe.Uko sahihi, kuna rafiki angu alinunua pale I4n OG Kabisaa pale.
Inajaa inategemeana na michongo yakoHauwezi!
Okay..Inajaa inategemeana na michongo yako
Ni sawa na shilingi ngapi?Daslm wanawauzia wateja wao iphone 7m daah simu ya rand 27,000 istore kama unaweza kununua on-line unaipata kwa bei hiyo..
Itakua Tsh 4,455,000 ukizidisha kwa rate ya Tsh 165 mpya hiyo istore duka lao wenyewe..Ni sawa na shilingi ngapi?
Bora na fair kabisa, huku nyingi refurbished china na used from dubai na bei inazidi istoreItakua Tsh 4,455,000 ukizidisha kwa rate ya Tsh 165 mpya hiyo istore duka lao wenyewe..
Nina miaka mingi sijanunua simu Tanzania imenifanya nakua na simu hata ya akiba yeyote ile maana bei zake kama wanaua ng'ombe aisee simu ya kawaida tu nimeona jamaa wameuliza A 06 katajiwa 350,000 daah..Bora na fair kabisa, huku nyingi refurbished china na used from dubai na bei inazidi istore
Boss hyoo unayosema kwa bei hiyo ni 256GB..ila 2TB inacheza hadi Rand 45,000+ apo i.storeItakua Tsh 4,455,000 ukizidisha kwa rate ya Tsh 165 mpya hiyo istore duka lao wenyewe..
Kiukweli watanzania imported goods tunanunua kwa bei za juu sana, cha ajabu hatuna maendeleo makubwa kivile, ukiangalia electronics, cosmetics, drinks, footwears and clothes si mchezo and we end up importing fake stuffs at higher priceNina miaka mingi sijanunua simu Tanzania imenifanya nakua na simu hata ya akiba yeyote ile maana bei zake kama wanaua ng'ombe aisee simu ya kawaida tu nimeona jamaa wameuliza A 06 katajiwa 350,000 daah..
Wana simu hadi ya rand 70,000 kutokana na Specification unazotaka wewe utaletewa huyo dada kasema anataka simu ya bei rahisi siwezi kumwambia ya rand 70,000 namwambia ya uhitaji wake..Boss hyoo unayosema kwa bei hiyo ni 256GB..ila 2TB inacheza hadi Rand 45,000+ apo i.store
Nimeongelea iphone 17 pro max i.store South AfricaWana simu hadi ya rand 70,000 kutokana na Specification unazotaka wewe utaletewa huyo dada kasema anataka simu ya bei rahisi siwezi kumwambia ya rand 70,000 namwambia ya uhitaji wake..
Inatakiwa ujue tu SA vitu vipo bei ndogo sio simu tu hata magari,vifaa vya ujenzi nguo za watoto hapa hakuna kodi bei chini sana...Boss hyoo unayosema kwa bei hiyo ni 256GB..ila 2TB inacheza hadi Rand 45,000+ apo i.store
Hizo nanunua kwa rand 27,000 hapo East Gate mall hiyo ndio bei iliyopo Wasauzi wawapi watoe rand 45,000 Faza.Nimeongelea iphone 17 pro max i.store South Africa
Sikuelewi unachoongelea,mm nimekwambia bei ya istore apo Sandton City Shopping Centre,kwa uzoefu wangu mdogo..ila ukinambia za uko mtaani nakuelewaHizo nanunua kwa rand 27,000 hapo East Gate mall hiyo ndio bei iliyopo Wasauzi wawapi watoe rand 45,000 Faza.
Nawafahamu tangu miaka ya 2008 sijui, kipindi hiko Nokia ni wa moto sana, wale jamaa hawajawahi kuuza bidhaa feki kabisa. Hawana promo ila kazi zao sio za kutiliwa mashaka kabisa.Uko sahihi, kuna rafiki angu alinunua pale I4n OG Kabisaa pale.
Wao Nchi ikiwa masikini hawafungui istore wanaamini hatuwezi kumudu hizo simu sema mimi sipo huko kwenu nipo na Samsung bhana ingawaje nao ni wale wale tu..Kiukweli watanzania imported goods tunanunua kwa bei za juu sana, cha ajabu hatuna maendeleo makubwa kivile, ukiangalia electronics, cosmetics, drinks, footwears and clothes si mchezo and we end up importing fake stuffs at higher price
Mi ninaamini Africa tunaongoza kwa kutumia bidhaa za istore wether fake or not! Kwanini wasifungue branch zao kila nchi au within all phases, wasitidharau people have money here as well..