naombeni duka linalouza iphone og

naombeni duka linalouza iphone og

Wao Nchi ikiwa masikini hawafungui istore wanaamini hatuwezi kumudu hizo simu sema mimi sipo huko kwenu nipo na Samsung bhana ingawaje nao ni wale wale tu..
Wanatudharau sana! Kwahiyo hata haya maduka yao huku ni mchina anatupa ujeuri tu😁
 
Sema China nao wana istore maana wana soko kubwa sana pale hata ukienda China kukuta used iPhone mwisho 15 ukiipata 16 au 17 jua ya kuchovya hiyo..
Ila kwenye istore shop wanazo zote mpaka 17 pro..
 
Wako vizuri

Ila ndio wanatupa tunachostahili (for export only)šŸ˜…
 
iPhone fake ndiyo ipoje, yaani 17 imetoka karibuni ila ukiikuta kwa Mudi matelephone ikiwa na box lake tayari ni fake?.

Je, hawa wafanyabiashara wa bongo hawawezi kuleta stock mpya kabisa kutoka kwa apple wenyewe?.
 
Inatakiwa ujue tu SA vitu vipo bei ndogo sio simu tu hata magari,vifaa vya ujenzi nguo za watoto hapa hakuna kodi bei chini sana...
Arusha niliwahi kuwauliza Injectors nozzle waliniambia 2m kwa moja daah aisee wanakuambia Og hizo hizo za laki nane ni feki na wanawauzia watu bei hiyo wakati hapa ford ranger wanauza rand 6,000 mpaka rand 5,000.
Kwa utafiti wako je bei ya bidhaa huko south africa ni nafuu kuliko china? mana kila mtu akipata mtaji anawaza kufata mzigo china. ni kwa nn wabongo hawaendi kufata mzigo south?. bidhaa kama vile nguo, vifaa vya ushonaji kama vile vitambaa, cherehan, vishkizo, nyuzi, Spare za magari na pkpk, electronics, home appliances etc. Isanga family
 
Hapa vitu vingi bei sawa na China maana hata wachina wapo hapa wengi tu wanauza shida ya SA usalama ni mdogo ila wapo wengi tu wanakuja huku wakijua chimbo wanawaambia wanaenda China ili mradi aje mwenyewe kuna ndege zaidi ya 4 kwa siku na zote zinakuja na abiria na kurudi Daslm.
Mimi pia napakia mzigo hapa China ni gharama na muda niliwahi kwenda huko pia.
 
sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom