tunakuombea ufike salama na ukayamaliize salama wa salimini.
pole sana mfike salama
Una mapoint hadi raha.
afu flora kumbe wewe mjasili
hahahaaa, kongosho from TB to TF,
mie ni trafic natazichek lesseni kwa ukaribu,lol.
Angel mamy twakuombea safari iliyo njeam, uende na urudi salama
Bombu! Unajaribu kusema nini?
From TB to TF? Why? Sasabu ya kusema ana mapoint?
Am sure leseni ulochek leo ni feki, ila ile ya zamani very yenyewe
hahahaaa, kongosho from tb to tf,
mie ni trafic natazichek lesseni kwa ukaribu,lol.
Angel mamy twakuombea safari iliyo njeam, uende na urudi salama
Tunasubiri utuambie ndiyo na fika nyumbani.....thanx da ndo napita segera hapa,
tunasubiri utuambie ndiyo na fika nyumbani.....
nadhani tayari umeshafika, ikiwa bado ninakuombea mungu atakujalia urejee salama.