TOTS SHALO
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 152
- 25
- Thread starter
- #21
nabashir niwakiume,Mungu ktk jina la yesu ampunguzie uchungu ajifungue salama.
thex mkuu kama umejua vile kazaliwa wakiume.
nabashir niwakiume,Mungu ktk jina la yesu ampunguzie uchungu ajifungue salama.
M'Mungu atamfanyia wepesi na atajifungua salama.
Thex wakuu nashukulu kwa dua zenu wife kajifungua salama mtoto wakiume. Mungu awabariki sana.
Kashajifungua tayari toto zuri la kiume...soma hapo juu!!
Thex wakuu nashukulu kwa dua zenu wife kajifungua salama mtoto wakiume. Mungu awabariki sana.
Wapi? Amuite huyo mtoto Dejafo. De-December, Ja-Jamii,fo-forum
Thex wakuu nashukulu kwa dua zenu wife kajifungua salama mtoto wakiume. Mungu awabariki sana.
hahahahah we unalako jambo wewe dada.Aitwe Qunu jaman!! Hongera sana mkuu