TOTS SHALO
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 152
- 25
- Thread starter
- #41
Mungu Ashukuriwe sana, sasa sio ukampe majina ya mababu sijui jina la baba na wapi sijui, watanzania kwa umasikini tulionao inawezekana tunamikosi, mpe huyo mtoto jina la kipekee kabisa, akapambane nalo maishani mwenyewe.na nimeishapendekeza Defajo.
Nashukulu mkuu nitatafakali nakumpa jina lake mwenyewe na kama ikiwezeka nitamuita: Defajo