Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
We Legea kidogo,ckufanyi kitu.
haya nimeshalegea...unafanya nini huko chini? mbona unashusha suruali yangu?
We Legea kidogo,ckufanyi kitu.
haya nimeshalegea...unafanya nini huko chini? mbona unashusha suruali yangu?
Habari za jioni mkuu!
salama tu. mzima wewe?
Habari za jioni mkuu!
chezea kupima weweeeeee Erickb52
mtu na ujanja wake wote uliisha. yaani mpaka leo akikumbuka ananiuliza nilifanyaje mpaka nikamfikisha kupima..
kuanzia siku hiyo tukibishana kitu tu anamaliza mjadala mapema maana anasema naweza kumshinda, lol!
Haya bhana.
Ila ukweli utabaki kuwa Kupima Ngoma ni Soo.
Hata uwe na Mwili kama wa Pepekale,Angaza panatisha Young Master.
Me hata uniwekee Mtutu,sithubutu.
usitake kujua tulielekea wapi, objective ilikuwa kumsaidia mtu kupima. yaliyoendelea ni off topic. imekaaje hii mkwe?Mi nataka kujua tu baada ya kupima na hiyo njemba mkajikuta negative mlielekea wapi?
Nimkute mke wangu anaenda kupima na njemba, hata kama ni mjomba wake, talaka itamsubiri mlangoni. Haki ya Mungu naapa!
mbona kimya na saa 4 ilishapita kitambo? upo salama Bishanga au umeshazimia?Ndo nimefungua macho,alhamis tayari,uuuuuuwii,wazo la kwanza kuchukua majibu saa nne,toba yarabi!
Sijui nichukue bajaj,nitaweza kweli kuendesha gari.
si uliambiwa saa 4? sasa saa 6 hii getini unatafuta nini? ingia tu, "liwalo na liwe"bado niko getini TMJ,jamani niingie nisiingie?
Nilituma shushushu wangu hapo TMJ anasema Bishanga kakimbia majibu then akarudishwa na walinzi, wakampeleka kwenye majibu ya damu na baada ya majibu ametoka akikoswakoswa kugongwa na magari. He's totally confused. Kama vipi aje na ascan majibu na atupie hapa. Note JMT Hospital, Tarehe ya jana/leo, jina hata akificha no problem, hivyo ndio
vigezo vya hayo majibu kama atatuma (which najua he won't)
kutalalika huko? na je aliyekutuma ukapime utampa jibu gani?heri kuingia kwenye domo la mamba kuliko kupokea majibu ya kipimo,nimeahirisha bana kuchukua majibu,nitakuja kesho,ngoja nikalale.