naombeni dua/sala zenu!

ila kupima kunahitaji moyo sana, mimi huwa napima mara kwa mara (just in case nijue mapema). kuna siku naongea na kaka mmoja rafiki yangu, imagine ana watoto 2, na najua huwa anaibiaga once in a while, hajawahi pima. siku nikamkalia kooni akapime, akaniambia anaogopa sana kupima na hawezi kumwambia mkewe wakapime. nikamwambia leo mimi nitakuwa either mkeo or your girlfriend, twende. tukaenda, nikamwambia Dr. tumekuja kupima na huyu ni my husband. akatupima, yule kaka alikuwa karibia azimie, sasa ikabidi nijifanye kweli ni mupenzi, kumsugua mgongo........ tulipopata majibu Dr. ikabidi acheke sana, maana hakujua ni jinsi gani jamaa ni charming hadi baada ya majibu............... tukaambiwa turudi after 3 months, kwani nimemuona tena! akaniambia ile pressure ya siku ile haitaki tena
 
Leo naenda hospitali kupima miwaya.Sina jinsi kuna mtu nimekuwa nikimpiga chenga mwisho kanambia ama nipime au mi na yeye basi.Jaaaaaasho linantoka ndo najiandaa kwenda TMJ hospital,mkiona kimya..............

Nilivyoona tu kichwa cha habari nikajua mzee mwenzangu umeishiwa nikukopeshe....
:focus: Wala usitegemee utapanda maharagwe uvune mpunga Bishanga. Walinena wadhungu "AS you sow so you shall reap" mwisho wa kunukuu.
Wewe inagombea ndito (dadaz) kila siku kwani ww haijui kuwa iko kitu inaitwa gonwa ya kisasa? Nway kwa maoni na ushauri fanya mazoezi mara kwa mara kula vyakula vyenye kukuongezea nguvu na matunda kwa wingi na uwe unatumia ARVs kama utakavyoshuriwa na daktari. Ukifuata ushauri utaishi miaka mingi.
 
Last edited by a moderator:

hahahahahaaa FP umenichekesha sana lol Kupima noma aisee
 
chezea kupima weweeeeee Erickb52
mtu na ujanja wake wote uliisha. yaani mpaka leo akikumbuka ananiuliza nilifanyaje mpaka nikamfikisha kupima, hakumbuki kama angeweza kufanya hivyo katika maisha yake.
kuanzia siku hiyo tukibishana kitu tu anamaliza mjadala mapema maana anasema naweza kumshinda, lol!
 
Last edited by a moderator:
Nilivyoona tu kichwa cha habari nikajua mzee mwenzangu umeishiwa nikukopeshe....
:focus: Wala usitegemee utapanda maharagwe uvune mpunga Bishanga. Walinena wadhungu "AS you sow so you shall reap" mwisho wa kunukuu.
Wewe inagombea ndito (dadaz) kila siku kwani ww haijui kuwa iko kitu inaitwa gonwa ya kisasa? Nway kwa maoni na ushauri fanya mazoezi mara kwa mara kula vyakula vyenye kukuongezea nguvu na matunda kwa wingi na uwe unatumia ARVs kama utakavyoshuriwa na daktari. Ukifuata ushauri utaishi miaka mingi.

Ha ha ha Arusha bana ARVs hata majibu bado???
 
REKEBISHA JINA LANGU HAPO JUU CHAP KABLA SIJAKUGOMBESHA. Dena Amsi ukishaona hivyo unauliza nini tena hapo? Wamemwangalia tu wakajua tayari na wamemwambia arudi kesho...... ulishaona wapi mgongwa wa ngoma akiambiwa arudi kesho? Hapo wanamwaandaa mshauri nasaha ajue jinsi atakavyomwandaa jamaa kupokea vipimo. Ime-eat kwake huyo. BTW this is CC remember?
 
Hajakwenda Angaza majibu hapo hapo amekwenda TMJ apate majibu kwa maandishi aonyeshe ukoo mzima huoni kalipia wakati Angaza ni bure...............
 
chezea kupima weweeeeee Erickb52
mtu na ujanja wake wote uliisha. yaani mpaka leo akikumbuka ananiuliza nilifanyaje mpaka nikamfikisha kupima, hakumbuki kama angeweza kufanya hivyo katika maisha yake.
kuanzia siku hiyo tukibishana kitu tu anamaliza mjadala mapema maana anasema naweza kumshinda, lol!
Heheee FP sawa hata mimi nishakumbwa na kituko ila namezea tu
 
Last edited by a moderator:
Leo naenda hospitali kupima miwaya.Sina jinsi kuna mtu nimekuwa nikimpiga chenga mwisho kanambia ama nipime au mi na yeye basi.Jaaaaaasho linantoka ndo najiandaa kwenda TMJ hospital,mkiona kimya..............
Wewe mtani hebu kula kona bana, utakufa siku si zako. Endelea kupiga chenga, akikumwaga ahueni yako!.
 
Hajakwenda Angaza majibu hapo hapo amekwenda TMJ apate majibu kwa maandishi aonyeshe ukoo mzima huoni kalipia wakati Angaza ni bure...............

I'm confused!! Hivi Dena Amsi ulianza lini kuwa msemaji wa Bishanga?? Au ndio u-bush lawyer wenyewe?
Na why mwenyewe haji hapa ajieleze kwanini wamepostpone lab results?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom