Nyani wa Somanga
JF-Expert Member
- Jan 21, 2026
- 415
- 572
Una bei gani?Chama
Una bei gani?Chama
Ukiwa kwa ground unaonjeshwa kwanzaHiyo ni baada au kabla 😂
Si unataka kinyozi mzuri au? saluni iko Chama hapo kituoni kuna dogo mmoja wanamuita mpemba kama bado yupo hapo.Then anajua au unauliza tu
Mkuu nilifika, kanitoa mara mbili aloo nmeelewa sana shida jamaa ni mtu wa harakati nyingi anamwacha mwenzie, saivi Ninaenda wiki ya 4 sjanyoa..Njoo abiola hapa kuna vinyozi wakali tu
chukua namba yake kila ukienda unamchekMkuu nilifika, kanitoa mara mbili aloo nmeelewa sana shida jamaa ni mtu wa harakati nyingi anamwacha mwenzie, saivi Ninaenda wiki ya 4 sjanyoa..
Sielewi kwanini vinyozi wazuri waga wanajisikia Fulani hivi, wananata knoma
Jamaa anajua kunyoa kishenzi ila kutulia ndo kitu hawezi
Wengi vifaa vyao hawaviweki kwenye sterilizerWooi wooi! Jamani hizo baba cjui mama shop ziache tu. Walishasababisha na nyoa mara moja kwa mwaka. Ndugu zangu nilienda nikanyolewa vizur tu kuosha kama kawaida na mrembo kama kawaida. Baada ya cku mbili kichwa changu kiligeuka chura mzee. Yaan maupele sio maupele, kichwa kuwasha kila mda ikabidi nirud kwao kuwashtakia tena nilienda watu wamejaa ili kama mbaya iwe mbaya. Na mwingne tena akaja akaunga tera tukawa wawili polisi tukatinga wakatwambia tukachukue ki pf3 ikabidi mwenye bibishop atulipie matibabu. Ila hos nilienda siku hiyo tu sikurudi tena. Na tangu siku hiyo ckurudi kunyolewa huko tena. Sasa hivi mnywele wangu unamaliza mwaka ndo niende na mashine yangu waninyoe nitoroke. Mimi na barber shop ni moto na petroli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huo mkoa nimeamini wanaume ni wavivu aiseeeee....