Naombeni chaka la kinyozi/ vinyozi wazuri bei kitonga

Wooi wooi! Jamani hizo baba cjui mama shop ziache tu. Walishasababisha na nyoa mara moja kwa mwaka. Ndugu zangu nilienda nikanyolewa vizur tu kuosha kama kawaida na mrembo kama kawaida. Baada ya cku mbili kichwa changu kiligeuka chura mzee. Yaan maupele sio maupele, kichwa kuwasha kila mda ikabidi nirud kwao kuwashtakia tena nilienda watu wamejaa ili kama mbaya iwe mbaya. Na mwingne tena akaja akaunga tera tukawa wawili polisi tukatinga wakatwambia tukachukue ki pf3 ikabidi mwenye bibishop atulipie matibabu. Ila hos nilienda siku hiyo tu sikurudi tena. Na tangu siku hiyo ckurudi kunyolewa huko tena. Sasa hivi mnywele wangu unamaliza mwaka ndo niende na mashine yangu waninyoe nitoroke. Mimi na barber shop ni moto na petroli.
 
Wakuu habari za wakati huu

Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅
Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa naenda kwa msela mmoja wakuitwa KATUNI alikuwa anapatikana kinondoni manyanya bei 3k jamaa alikuwa fundi sana.
Nimetoka nimerudi naenda kunyoa naambiwa jamaa kashavuta (washazika kitambo) so sad but maisha lazma yaendelee 😣🙌 nimenyoa hapo mara mbili ila mara zote sjaridhika kabisa japo anajitahidi ila bado sjamwelewa tu. Napiga hesabu napotokea kwenda SAIVI na vyenye kinyozi ananitoa naona si kweli.
NImehamia Yombo huku maeneo ya chama, naomba mwenyeji anayejua kinyozi mzuri anielekeze kwa maeneo ya chama(makaburi ya city) au maeneo yoyote jirani na sehemu nilipo.
Natanguliza shukrani 🙏🙏
Njoo NIKUPIGE WEMBE FASTER UWAKE
 
Nisikilize mimi.

Mabibo hostels, pale pana saloon tatu, izo saloon ukinyoa utanishukuru.

1. Ipo ya buku mbili, jamaa fundi kinoma.
2. Ipo ya buku tatu jamaa fundi kinoma sema bishoo yupo slow.
3. Hii ndio funika. Ya buku tano. Hatari.

Siku zote ukitaka vitu cheap Hafu quality nzuri, nenda karibu na vyuo.

Vyakula bei ndogo, saloon cheap, printing bei ndogo nk.

Narudia tena, nenda Mabibo hostel.
Nakubaliana nawewe, ila nipe location na jina la mwenye saloon hasa huyo wa 3k niishi nae
 
Wooi wooi! Jamani hizo baba cjui mama shop ziache tu. Walishasababisha na nyoa mara moja kwa mwaka. Ndugu zangu nilienda nikanyolewa vizur tu kuosha kama kawaida na mrembo kama kawaida. Baada ya cku mbili kichwa changu kiligeuka chura mzee. Yaan maupele sio maupele, kichwa kuwasha kila mda ikabidi nirud kwao kuwashtakia tena nilienda watu wamejaa ili kama mbaya iwe mbaya. Na mwingne tena akaja akaunga tera tukawa wawili polisi tukatinga wakatwambia tukachukue ki pf3 ikabidi mwenye bibishop atulipie matibabu. Ila hos nilienda siku hiyo tu sikurudi tena. Na tangu siku hiyo ckurudi kunyolewa huko tena. Sasa hivi mnywele wangu unamaliza mwaka ndo niende na mashine yangu waninyoe nitoroke. Mimi na barber shop ni moto na petroli.
Pole sana mzee baba, changamoto za hapa na pale
 
sehem gan
Abiola Unapajua?
Nahitaji kinyozi mkali/anayejua
Hata vinyozi wakali wanatofautiana kuna yule mbahatishaji yaani leo anaweza kutoa vizuri kesho akazngua na kuna yule yeye moto ni ule ule hata akikosea kdg sana na haidhuru ndo aina ya vinyozi naowahtaji na mara nyingi saloon zao si classic sana ila huduma zao ni bora kuliko ofisi zenyewe; kuhusu bei mara nyingi zina range 2k-5k, ila mara nyingi ni 3k.
Note: hakuna mtu hajui kunyoa ila kuna mafundi hahangaiki, maelekezo kdg unyama ni mwingi
 
Maeneo ya batotos hapa kuna saloon na pia ukiingia ndani kama unaelekea cite kwa mtoa mada kuna chimbo jengine
Nipe maelekezo vizuri mkuu, nikiwa sina mishe sehemu ya kupunga upepo ni kwenye huu uwanja wa makaburi ya city nje na hapo naenda kupanda gari kwa ajili ya mishe za kila siku.
 
kama unaweza kufunga safari hadi mbagala rangi tatu
nikupe kinyozi....hutajutia...ni fundi
Wakuu habari za wakati huu

Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅
Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa naenda kwa msela mmoja wakuitwa KATUNI alikuwa anapatikana kinondoni manyanya bei 3k jamaa alikuwa fundi sana.
Nimetoka nimerudi naenda kunyoa naambiwa jamaa kashavuta (washazika kitambo) so sad but maisha lazma yaendelee 😣🙌 nimenyoa hapo mara mbili ila mara zote sjaridhika kabisa japo anajitahidi ila bado sjamwelewa tu. Napiga hesabu napotokea kwenda SAIVI na vyenye kinyozi ananitoa naona si kweli.
NImehamia Yombo huku maeneo ya chama, naomba mwenyeji anayejua kinyozi mzuri anielekeze kwa maeneo ya chama(makaburi ya city) au maeneo yoyote jirani na sehemu nilipo.
Natanguliza shukrani 🙏🙏
Uko wapi?
 
Kuna salon ya dogo mmoja white wanamuita mpemba hapo Chama kituoni karibu na duka la Baba pude bado yupo?
Mi si mzururaji sana, zaidi nkitoka ni either naenda uwanjani kurefresh mind kidg si unajuaa ule uwanja ulivyokaa, umekaa kishua sana basi tu hewa safii upepo ukicheza harufu ya mjani life linasonga
Nje na hapo ni mimi natoka kwenda kituo cha saratani basi.
 
Back
Top Bottom