Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
ndoa itafugwa tunda litamegwa ole wake bikira iwe imetoka kwa michezo ya rede,kipande kuendesha baiskeli atasimulia
jamaa atakuwa anajua kuliko yeye na hawakawii kutuita majina kama..........
1. mkewangu mzuri na ninampenda sana lakin kitandani hajui kitu
2. hajishughukishi kabisa yupo ka gogo
3. kimoja tu anadai ameshoka
4.kubwa na inamaji mpaka tudeki
uzoefu unahusika
mwisho mi namuasha hanifai demu gani huyu ni bora niende kwa ummy (muuza bar)anayajua mapenzi.
Mh!
Nshaishuhudia kwa shost wangu hii, baada tu ya ndoa karudi kulalamika mambo ya 6*6 hayaendi vzr wamekaa kidogo wameachana, kuonja nako kuna mchango wake lakini.....
Huku kuonjaonja ndo kunakofanya umuone hajui. Imagine ye hajawai na ww hujawai mnajifunza pamoja..u laugh at mistakes u make n enjoy koz hata hujui anaekatika zaidi yukoje.
Mdanganyeni tu mwenzenu...