******** hongera kwa hilo bt asikuambia mtu bora ujaribu ujue yukoje usije ukakutana na mabo kama yaliyo nikuta mm nilivumilia weeeeeee kuja kukuta kidume hana nguvu za kutosha haya kila la her*******
kumbe ndio maana mnatupa papuchi zenu...kupima kama tuna nguvu za kiume au lah!!! aibu!!