naomba ushauri

naomba ushauri

Kwanza hongera kwa kuweza kuvumilia vishawishi vingi ulivyokutana navyo toka kwa wanaume mbali mbali kabla ya kukutana na huyu mtu wako. Kwa maoni yangu kama kweli ana mapenzi kwako muombe aendelee kuwa mvumilivu hadi mfunge pingu za maisha ila kama anaanza kukutishia kwamba usipompa atakuacha solemba basi mwambie safari njema.



 
Last edited by a moderator:
kha!!! dada yangu nakuomba usimpanulie kabisa huyo mwanaume...yaani hasikuvue chupi kabisaaa. hataki amuache.
wanawake kama nyie wapo wachacbe lakini ndio wanawake wa kweli sio hawa wanao gawa utamu. keep it up!!!

kuna mtu ulimgegeda jana usiku ukaropoka password yako ya JF?lol lol!this is too sweet to be posted by mzabzab
AHSANTE SANA!angalau leo umeprove watu wrong kuwa kuna wakati huwa unaona thamani ya mwanamke!
KEEP IT UP!
 
Last edited by a moderator:
Ninavyojua mimi kila jambo lina faida na hasara.
"
Kufanya mapenzi kabla ya kuishi pamoja kuna faida na hasara pia.
"
Ukiacha mambo ya dini,ngono ni kitendo kinachoweza kuiharibu kabisa ndoa au kuijenga.
"
Utakapogundua kuwa mwenzio ni mchovu,hajui ngono vyema,si msafi vya kutosha,hana nguvu za kutosha,ana kibamia n.k,mapema kuna uwezekano wa kumrekebisha mapema.
"
Najua haya unaweza pia kuyarekebisha hata mkiwa mume na mke,lakini vipi kama harekebishiki?Je tatizo kama la kibamia?
"
Unaweza ukazungumza kirahisi tu kuwa nitamvumilia,lakini unakuaje na uhakika na hili?
"
Pia jiulize ni kwanini unafunga ndoa?
"
Moja kati ya sababu kuu ni ngono,unadhani unaweza kuishi maisha ya furaha kwenye ndoa kama moja kati ya mhimili mkuu wa ndoa hauko sawa?
"
Usijiambie kirahisi kuwa utavumilia,wengi wamepata msongo wa mawazo na kuishia kuishi maisha ya hasira kwa sababu hii.
"
Hasara ya kufanya ngono kabla ya ndoa mi nadhani ni pale utakapogundua udhaifu wa mwenzio na ukashindwa kuvumilia na ukaamua kumkimbia.
"
Kwangu mimi nadhani kuna faida zaidi kufanya ngono kabla kuliko baada ya ndoa.
"
Kama unaamini zaidi katika dini,hilo ni jambo lingine!
 
Kama ndo mwanaume wake wa kwanza hawezi kujisikia kuwa mambo hayaendi sawa. Kwa sababu hana comparisons. Tatizo unapata wewe mwenye uzoefu kama mkurugenzi wa crdb. Umetumikia mabank 60 hadi ya kata na tarafa. Unaangalia nmb walinipaga nyumba, exim walinipaga gari baya baya, meridian bueau waliingia mtini hadi na account yangu. Actually maisha ni rahisi zaidi kama unaoana na mwenza wako wa kwanza, mnafundishana kwa raha zenu kuanzia a hadi z!

aahahahahhahahah huachi kunipa raha mie!lol eti mkurugenzi wa crdb uzoefu miaka 60! ahhahahahhahahahhahahhahhahahaha chezeya ukurugenzi utendaji wewe!?
sasa kimfano Asprin atakuwa ni meneja au mkurugenzi? Madame B je? mzabzab ? lara 1? Kaizer?uuuwih gfsonwin cacico snowhite mimi je?
LOL!
 
Last edited by a moderator:
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
SUBiRI HAPO HAPO! Asprin kuja umkague huyu dada, eti bado bikira! hubby u r letting me daunnnnnnn!
 
akikushinda kwa ushawishi mkalala naye kabla ya ndoa, basi lazima uchumba uishie hapo, mwambie kabisa awe anajua, anakupenda kwa dhati kwamba uwe mkewe hana budi kusubiri. Hata hapaswi kushika sehemu zako nyeti kabla ya ndoa.
 
Hongera sana kwa kujitunza kama nikweli, naomba kufaham
i)kama unampenda na yeye anakupenda kweli,
ii)umekaa naye muda gani?
iii) ni mpenzi wako wa ngapi?
iv)unafikiria kuolewa wakati gani, na vp yeye mawazo yake kuhusu ndoa?
v)amewahi kuwa na mahusiano na wangapi kabla ya kuwa na wewe?
vi)Now una hakika kama anaye mwingine au hana? au na yeye ni bikra wa kiume? kama sio huwa anazitulizia wapi hisia zake?

naomba unijibu hayo nitakushauri, kama hutajali ni PM
 
mwalimu wa hubby wangu, nini kinaendelea hapa??

mwenzangu si King'asti huyo kapatia mimi msamiati mpya wa tulio wazoefu wa mchakato kuwa eti ni wakurugenzi watendaji wa benki!tukikutana na nmb tunakumbuka kuwa citibank walikuwa wanatupa house allowances.tukihamia nbc oh mi nmb nilikuwa napata mikoppo ya gari,tukihamia barclays oh mi standard chattered walikuwa wananilipia wanangu shule basi mradi kila benki tunzopitia tunatoa kasoro!
 
Last edited by a moderator:
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu

Embu mpatie hiyo chakula huyo mchumba ako. Acha kubania bania. Chakula kabla ya kupelekwa mezani ni lazima kionjwe kama kimeiva, kina chumvi ya kutosha, nk. Acha ushamba.
 
Kuna utani huwa nasikia kuhusu wafungishaji ndoa dini fulani dsm huwa wanauliza hivi! Nanukuu, " munataka kuoana Dada na kaka au wapenzi??? Yaani mshawahi kunanihii hata siku moja coz sitaki nisikie siku mnarudi hapa kuomba ushauri kuhusu mambo ya kitandani ni utovu Wa nidhamu kwa kutokujua maana ya kuoana, mwisho Wa kunukuu, my take sasa wewe utaenda kuomba ufungishwe ndoa na kaka ako au mpenzi wako?? Ukipata jibu amua kuanzia hapo KAMA umpe KAMA mume mtarajiwa au usimpe coz unaamini huyo bado sawa na kaka ako tuu yaani huna uhakika naye!

Sent by chescomatunda using JamiiForums
 
naomba nikudese Mwanamalundi
THIS ISSSUE IS GETTING VERY SERIOUS
au ni kweli waliosema mwisho wa duni tar 21 mzabzab unanitsha ujue! Mentor mi mwenzio nabaki nashangaa tu hapa!

hahaha sasa natisha nini bwana wewe? kha mwisho wa dunia tarehe 21...wacha nigegede kwa tani yangu huku arusha alafu nasikia bongo movie wanatia timu hapa mujini jmosi aibu jamani sijui wolper atatia mguu nipate kumgegeda nae...anaye jua bei yake aniambie kama vipi nikauze nyumba kabisa
 
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu

huyo jamaa ana bahati kupata duu kama wewe, maduu wengi wa mjini hawana kitu hiyo ya virgin ,tunza hiyo kitu mpe akishakuoa.
 
Hongera mwaya.. ! But mmh.. If it was me ningefanya nae kimchezo cha majaribio kabla ya kufunga ndoa lol..may be baada ya kuwa na uhakika kuna ndoa let's say amejitambulisha na amekuvalisha pete.

Umesema uko tayari kwa lolote, but kuna mengine yatakuwa magumu kuvumilika na inaweza kuku cost sana.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hongera mwaya.. ! But mmh.. If it was me ningefanya nae kimchezo cha majaribio kabla ya kufunga ndoa lol..may be baada ya kuwa na uhakika kuna ndoa let's say amejitambulisha na amekuvalisha pete.

Umesema uko tayari kwa lolote, but kuna mengine yatakuwa magumu kuvumilika na inaweza kuku cost sana.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
neggirl....usimdanganye mwenzio.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom