Naomba ushauri

Naomba ushauri

Mbaya.

Nyumba iwe na mtu vinginevyo hao watoto mrudi nao.

Hizo zitakuwa sendoz za dereva wa school bus. Je nini huwa kinaendelea hatujui.

Mungu walinde kina mjukuu
 
Mkuu kuna mijitu katoto ka 12yrs kwake anaona ni mkubwa mwenzie. Huyo hawezi kuwa Mwizi nakataa, anaweza kuwa mtu mwenye matatizo ya Fya ya akili, brother fanya kitu kabla mambo hayajaaribika.
 
Yani wewe na mkeo wote hamna ndg mkaishi nae hapo!! Uchoyo tu
 
Parking ya hizo sandals ni tulivu kuashiria kwamba muhusika alifika nyumbani hapo kwa kujiamini.
Hapo sio tungefahamu kwanza kama hapo ndivyo alivyovikuta au wamevisogeza?.

Hofu yangu mimi imehamia kama huenda kuna Mtu mbaya "Anko" anavizia hapo nyumbani...aina ya viatu haiiashirii kama ni vya Kibaka au Mdokozi.
 
Hiyo Nyumba ifungwe vizuri mnapotoka na Watoto watafutiwe kwa kufikia watokapo Shuleni kuwasubiria mrudi ndio muingie wote nyumbani.

Hiyo si dalili nzuri hata kidogo, ni bora hata mkute Vitu vimeibiwa kuliko Watoto kudhuriwa.
 
Back
Top Bottom