The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
- Thread starter
- #21
Tofauti ya muda wa kurudi kati ya watoto na mama yao ni plus or minus 2hrs ...hivyo wanakuwa wenyewe kwa muda mchache sana kwa kipindi hiki ambacho hatuna dada.Ni kwamba hao watoto huwa wanakaa wenyewe wazazi mkiwa kwenye mihangaiko? I assumed kuna mtu huwa anawaangalia.