Naomba ushauri

Naomba ushauri

Kaka hakuna kitu kizuri kama kuwa na spy wako mmoja mtaani anakupa umbea wa mtaa , wa majirani na hadi wa nyumbani kwako ikiwezekana unampa na vimia mia inasaidia sana hii kujua watu wanakuchukuliaje wanapanga nn juu yako hasa ukiwa si mtu wa kukaa kaa sana nyumbani
 
Huo mkao wa viatu kwenye picha ndo mkao mliovita vilivyo. Kama vimeachwa na mwizi basi hana utaaramu wa wizi
 
Naishi na wanangu wawili na mama yao,Wazazi wote ni wafanyakazi na Watoto wote ni wanafunzi wa umri wa miaka 7 na 12.

Tunatoka wote asubuh sana na kurejea usiku na wa kwanza kurudi ni watoto.
Sasa iwapo tumerudi na kuwakuta watoto wakiendelea na pilika pilika zao kama kawaida.

Nyumba ina mageti matatu...Geti kubwa la nje la kwenye uzio, mageti mawili madogo ya ndani...mara zote watoto hutumia geti moja tu la mbele kuingia ndani na kuendelea na pilika zao hadi sisi tunaporudi.

Leo tumerudi na kukuta viatu hivyo hapo pichani vikiwa kwenye geti la nyuma. Je, nini kifanyike kuhusu hivyo viatu na nini mawazo yako juu uwepo wa hivyo viatu hapo mlangoni?

View attachment 2486657
Mbona kama vya kwangu lakini mbona vya kwangu ninavyo hapa.
 
Nivifanyajee hivi viatu waungwana
JPEG_20230119_122221_-1536959968.jpg
 
Naishi na wanangu wawili na mama yao,Wazazi wote ni wafanyakazi na Watoto wote ni wanafunzi wa umri wa miaka 7 na 12.

Tunatoka wote asubuh sana na kurejea usiku na wa kwanza kurudi ni watoto.
Sasa iwapo tumerudi na kuwakuta watoto wakiendelea na pilika pilika zao kama kawaida.

Nyumba ina mageti matatu...Geti kubwa la nje la kwenye uzio, mageti mawili madogo ya ndani...mara zote watoto hutumia geti moja tu la mbele kuingia ndani na kuendelea na pilika zao hadi sisi tunaporudi.

Leo tumerudi na kukuta viatu hivyo hapo pichani vikiwa kwenye geti la nyuma. Je, nini kifanyike kuhusu hivyo viatu na nini mawazo yako juu uwepo wa hivyo viatu hapo mlangoni?

View attachment 2486657
Ila wazazi wa siku hizi aiseh wazembe sana, wajuaji.
Watoto wamekua wakiharibiwa na kurubuniwa kila kukicha lkn bado wazazi wengine hawashtuki wala kujigusa.
 
Ila wazazi wa siku hizi aiseh wazembe sana, wajuaji.
Watoto wamekua wakiharibiwa na kurubuniwa kila kukicha lkn bado wazazi wengine hawashtuki wala kujigusa.
Uko sahihi boss....cha kwanza kabisa baada ya kugundua uzembe mkubwa katika hiyo life style uliyoisoma ungekuwa wewe nini ambacho cha kwanza ungefanya...ndio tunajifunza pia katika haya mkuu...swala la malezi sio rahisi kama wengi tunavyofikilia na ni swala ambalo tunapaswa kujifunza kila siku kwa vile dunia kweli imebadilika...maana hao hao wadada wakazi ni changamoto kubwa mno kwa malezi ya watoto kuliko uwepo wa hivyo viatu mlangoni kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la malezi si lelemama ndio lkn sio kwa kuwasusa watoto kias hicho.
Kama unahisi uwezi kulea na kusimama na watoto wako kila siku tafuta namna nyingine nzuri.
Mim sijasema chchte kuhusu mfanyakazi hilo umesema ww, inapofikia hatua unataka kua na mtoto lazima upange mikakati mizuri na namna nzuri ya kulea mtoto.

Leo umekuta viatu umebaki na maswali mengi kichwan.
Kaa ufikilie Je, hivo viatu ulivovikuta leo huenda ni Mungu tu ameamua kukuonyesha tu.

Jitahid kuchunga, kulinda watoto kufuatilia watoto chochote kibaya kitakachotokea kwa mtoto hakitaweza kumrudisha mtoto kua kama yule wa mwanzo.
Kazi ni muhimu ndio pesa ni muhimu lkn bado uwezi linganisha umuhimu wa mtoto wako na chchte kile.
 
Asante mkuu,usafi nimefanya wakutosha last week.
Yaan huyu aliyeaacha sandals zake hapa...tumehisi labda alikuwa muhalifu sasa wakati anapambana kujaribu kutaka kufanya uhalifu watoto wakawa wanaingia hivyo akakimbia hilo ndio wazo la haraka haraka au umefikiliaje hapo mkuu.View attachment 2486691
Beki 3 kaliwa kaachiwa manyoya.
 
Back
Top Bottom