The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
Naishi na wanangu wawili na mama yao,Wazazi wote ni wafanyakazi na Watoto wote ni wanafunzi wa umri wa miaka 7 na 12.
Tunatoka wote asubuh sana na kurejea usiku na wa kwanza kurudi ni watoto.
Sasa iwapo tumerudi na kuwakuta watoto wakiendelea na pilika pilika zao kama kawaida.
Nyumba ina mageti matatu...Geti kubwa la nje la kwenye uzio, mageti mawili madogo ya ndani...mara zote watoto hutumia geti moja tu la mbele kuingia ndani na kuendelea na pilika zao hadi sisi tunaporudi.
Leo tumerudi na kukuta viatu hivyo hapo pichani vikiwa kwenye geti la nyuma. Je, nini kifanyike kuhusu hivyo viatu na nini mawazo yako juu uwepo wa hivyo viatu hapo mlangoni?