Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 9,667
- 34,368
Kama mke hataki we Tafuta ng'ombe zako wawili wa maziwa na pickup ya kufatia majani ya ng'ombe andaa mazingira nyumba iwe nzuri hata kama ni ndogo lakini hakikisha ina hadhi nzuri nyuma weka garden moja safi ya kupimzikia unaihudumia mwenyewe.
kama eneo lipo upande wa pili unapanda zako mboga za majani jion unamwagilia taratibu ukitoka unakamua ng'ombe unachemsha maziwa yako unakunywa huku unaangalia DSTV mechi za Epl,uefa laliga, ukimiss vitu vya town, unaosha mwenyewe pickup yako ya kufatia majani ya ng'ombe tope zote zinatoka inang'aa unapiga mkanda nje unaingia town kuburudika, kula nyama choma kidogo na kusalimia marafiki.
Aise ngoja nishtuke kwanza usingizini