Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,294
- 2,683
Kuna ndugu yangu alioa sehemu ambayo alipangwa kikazi kipindi anaajiriwa tu,na hajawahi kuhama mpaka anastaafu.Hili jambo waelimishe watoto wako kwanza afu wamshawishi mama yao, akigoma tumia udikteta tuu, ww unaenda kijijini yeye abaki mjin kama utaweza kuishi peke yake mjin
Sasa baada ya kustaafu akataka kurudi mkoani kwao yeye na familia yake. Mke akagoma,familia ikajigawa kati so baadhi ya watoto wakaondoka na mshua wao wengine wakabaki na Mama yao.