Naomba ushauri wenu

Naomba ushauri wenu

Unafikira simple ila siyo hivyo.

Una mke kwenye uzee huwezi kuwa huyu huku huyu huku.

Mi nilihamia huku na mtoto tu kivulana cha jirani hata wanangu walikataa, baadaye kidogo binti yangu kanifuata.

Nyumba mjini zipo ila huku niliwahi let say five years before retirement, nikawa naenda job kutoka huku shamba, kila siku nauli ilikuwa elfu kumi, ila nilipenda nizoee mazingira.

Wakati huo niko na separation ya more than fifteen years, ila ndoa ya kikristo ndo hivyo.

Wale vijana wakasema kwa baba yao mama anaishi maporini anariski maisha.

He called me, nikamwambia nipe hela nirudishe mizigo mjini, alishtuka tu hata angenipa nisingerudi mjini.

Anyways ni mambo mengi sana,
Nimekuelewa, bahati nzuri,
Nilishaandaa hayo mazingira ni kipindi sasa toka miaka ishirini iliyopita,
Ni mambo tu ya kusomesha watoto, ila nilikuwa sikauki kijijini, nimezoeleka sana na ninasifiwa kwamba sijapasahau nyumbani kama vijana wengine,

Najua kuna changamoto, lakini nimejipanga kuzikabiri,

Mzee mmoja wa mjini aliwahi kuniambia yeye hawezi kwenda kijijini kwa sababu kuwa ataonewa wivu anamaisha mazuri watamroga,

Halafu msiba ukitokea lazima aende, Hana excuse, hata vijiji ya mbali huko, kwa hiyo akaona hayo hayawezi, Nadhani na changimoto nyingine zipo
 
Tafuta nukuu za mama EGW ujisomee pamoja na mkeo. Anashauri na kusisitiza kuachana na maeneo ya mjini hasa nyakati hizi za mwisho.
 
Ni mateso tu wakishaamaliza kukutumia,

Mimi naona sisi wanaume ni kama watumwa kwa tu so waoa,

Faida ya kuoa ni ndogo sana kuliko hasara,

Nadhani kwa wanaume wa leo bora utafute watoto kwa njia zako kuliko kuishi na hawa watu, ni utumwa tu
asante mzee mwitore kwa huu muongozo
 
Shida sio mkeo ni serikali

Vijijini hapafanani na mjini...kijijini hakuna huduma nzuri kama ilivyo mjini...hakuna ma-specialist wa magonjwa mbalimbali..


Hakuna hata starehe...Sauti za ndege kutwa.

Umeme wa mgao vitu bei ghari.

Barabara mbovu marafiki wa mkeo Hawawezi kuja kumtembelea mara kwa mara.
 
Shida sio mkeo ni serikali

Vijijini hapafanani na mjini...kijijini hakuna huduma nzuri kama ilivyo mjini...hakuna ma-specialist wa magonjwa mbalimbali..


Hakuna hata starehe...Sauti za ndege kutwa.

Umeme wa mgao vitu bei ghari.

Barabara mbovu marafiki wa mkeo Hawawezi kuja kumtembelea mara kwa mara.
Hizo sababu ulizotoa inategemea vijiji na vijiji, kijiji changu kuna umeme huu mwaka wa 25, hata nyumba yangu ina umeme,

Barabara juu ya lami inapita hapohapo, yaani nipo mita 100 toka barabarani,

Maji ni juhudi yangu mimi mwenyewe kuchimba kisima au kusubiri bomba lifike, na lenyewe ni uvivu tu wa serikali, lingekuwa limefika kitambo.

Kuhusu starehe, hizo ndio fursa zenyewe, wala sitaki kuwaamsha.

Kuhusu marafiki zake, hata mimi nina marafiki, lakini hata hivyo toka tumeanza kuishi mjini marafiki wangapi tumewapoteza, iwe ni kuhama, kufariki, hata wengine urafiki haupo tena, na huko kijijini mbona marafiki wa utotoni wapo,

Mimi siishi mjini kwa ajili ya marafiki, kuna umri unafika inabidi ujiangalie wewe na familia yako
 
ASIKWAMBIE MTU KITU BABU KIUME PESA KAMA UNAYE MTAALAMU WA NDAGU WA UKWELI NENDA AMA NJOO PM TUYAJENNGE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom