Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,364
Soon i will speak now I am searching myself what i wantThe way you were advising that guy is a clear indication that you you have encountered the same scenario 😂
Soon i will speak now I am searching myself what i wantThe way you were advising that guy is a clear indication that you you have encountered the same scenario 😂
Soon i will speak now I am searching myself what i want
ashindwe yeye mwenyeweAchukue huu ushauri utamfaa zaidi
🙂😌😊🤓Dah! we jamaa😁😁
Kuna mdada nlikuw naskiliza nae hyo ngoma kipindi hiko tunapiga tution kwa ngaiza! Popote ulipo we mdada bado nakumiss sana
Ina ujumbe na mashair mazuri sana hasa Kwa wale vijana wanao jitafutaNgoja nijaribu ila naona Kama imekaa kilocal sana hii ngoma
[emoji23]Kwamba Bado anauadvance /uform six ule wakuitumia pis kibarua,picha pamoja na Jina la wimbo falani mzurii wa mapenziHivi JKT wanaruhusu matumizi ya simu?
Kwanini usielewe kwamba yupo na mwanaume tena kama wewe kwanini inalazimishwa?!...........Wajuvi wa mambo ya mahaba nisaidie Tafadhali maana nimeshaimbisha sana kwa manzi flani lakini naambulia patupu.
Ingawa ana viashiria flani Kama vya kunikubali but ninapoimbisha anasema ana mtu wake, ni demu flani nilianzisha urafiki kabla baada ya muda nikaamua nimfungukie ila ananiwekea kikwanzo kwamba yupo kwenye mahusiano tayari.
Sasa Kuna idea imekuja kichwani mwangu kwamba nimtumie ngoma flani kali ya mahaba ya kumshawishi kisaikolojia nisaidieni ni nondo gani Kali inaweza kumfikilisha uyu mwali akanikubali mwamba.
NB: Sihitaji ushauri wowote kuhusu pesa.
Mwanamke anajielewa hawezi kukubali kipumbavu hivi kisa nyimbo, vijana tafuteni pesa acheni kupoteza muda kipumbavuLyrics
Uje - Neyba
...
penzi halina radhi ila nitakuchukia ukijanitenda maiyoyoyoyo tena usijaribu hata sumu nitakupatia ukijanitenda maiyoyoyoyo usinichomeee kumoyoo ooh usinichome kumoyo
usinichomeee kumoyoo eeeh usinichome kumoyo kumoyo
penzi Ni zaidi ya kisu kikali usinnichome kumoyoo
penzi Ni zaidi ya kisu kikali eeh usinichome kumoyo
hata Kama Sina gari tutapanda baiskeli kwani kupata Ni zari ukikosa usijali
hata Kama Sina gari tutapanda baiskeli kwani kupata Ni zari ukikosa usijali eeeeeh eh
chunga moyo ,,moyo unataka vingi tena utosheki huu moyo kwa tamaa ya moyo kunganga na shilingi Tena utosheki huu moyo ikiibidi kupambana vyovyote ili tupate kurumbanarumbana SI vyema tubadilike oouh moyo
penzi Ni zaidi ya kisu kikali usinnichomee kumoyo penzi Ni zaidi ya kisu kikali usinnichomee kumoyo,,kumoyo
hata Kama Sina gari tutapanda baiskeli kwani kupata Ni zari ukikosa usijali
hata Kama Sina gari tutapanda baiskeli kwani kupata Ni zari ukikosa usijali uuuje
kwani kupata Ni zari uuujeee eeh uje uje uje uje uje uje uje kupat ni zari uje uje uje uje Kama Sina zari ujeee
unavojua haya mambo afu unaniambia hujadinyana mwaka mzima😂Mtoa mada
Kwanza kuna huu ubani unaitwa mashtaka andika kwa makini, na udi ulizia wa mapenzi au huu udi mwenye kasha jekundu mbele kuna babu kajikalia huu ni mzuri , chukua pyhumu yako changanya na maji ya rose . Kidogo tu, . Anza hivi oga vizuri kabisa vaa kawaida kwako washa udi ila uwe tayari umeshawasha mkaa kwa mashtka unashtaki , rose umenikataa nimekuja kukuita uwe mpenzi wangu nataka nikikusalimia uniitikie , nitakachokuambia lolote lile ufanye, unasema kila utakacho,..
Halafu unaacha udi uliowaka uendelee kuwaka halafu unaendelea na ubani mashtaka unamwita aje kwako au akutafute popote ulipo asile asilale hadi uje kwake , huo ubani ukiupata aisee anakuja chapu tu walahi atakufuata .
Nipe mrejesho ila unakuwa unafanya hivyoo mara 1 tu asubuhi maana ndio unakutana naye waweza mchana kama unanafasi ila sio lazima uweke vyote unaweza washa udi pekee au mashtaka pekee fanya kwa siku saba . Tatu za mwanzo nipe mrejesho.
Eh !kha mbali na mimi mie nimzee sana na 90 years old siwezi kuwa nawewe una 16 years .unavojua haya mambo afu unaniambia hujadinyana mwaka mzima😂