Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,364
Hujanijibu umesepaShule zimeshafunguliwa wiki ya pili sasa vip unataka ukajiandikishe mkuu
Hujanijibu umesepaShule zimeshafunguliwa wiki ya pili sasa vip unataka ukajiandikishe mkuu
Acha dharauUnavyojieleza unadhani huyu dogo anao hata huo uwezo wa kumudu uliyomtajia?
mkuu kwanini usimpotezee tu huyu atakusababishia matatizoAcha dharau
Kimuonekano nipo smart mrefu kiasi mwili wa mazoezi pesa zipo kiasi ila sio za kuchezeaAtakuja niambie ulivyo kuanzia mavazi na kimuonekano je unamkwanja?? Au wakawaida tu pesa zipo ila sio zakununua gari .
Ukinifafanulia na yeye unipe alivyo naweza kukusaidia akawa wako ila uwe mkweli mara ya mwisho alisemaje
Hawa ndo wale wakitokaga chooni wanaangalia kushoto na kulia alafu wanakimbilia ndani wakiwa uchimkuu kwanini usimpotezee tu huyu atakusababishia matatizo
Wewe unafanyaga ivyo Kaka au unanishauri mimi tuMkuu omba namba yake ya simu kisha apokee meseji kama hizi chini ,akichomoa Nipo pale Nimekaa.
Hamisho la Pesa Limekamilika. Umepokea Tsh 500,000/= kutoka kwa GEORGE BARRAN, Kumbukumbu ya malipo 44198867657. EC100782564234.
Sasa nifanyeje kiongozi nimeshaimba sana mtoto hataki kunielewaKutongoza kwa kumtumia nyimbo mwanamke kuliisha toka mwanzoni mwa mwaka 1990 huko,
Bila hela hata umpelekee flashi iliyojaa kila aina ya wimbo ni kazi bure tu.
Kama hakuelewi achana nae,inaonekana amesha kusoma kua wewe ni dhaifu sana kwake,umeonyesha udhaifu wa kumbembeleza sana,mwisho akajiona yeye ni hot cake kwako,Sasa nifanyeje kiongozi nimeshaimba sana mtoto hataki kunielewa
Wewe unafanyaga ivyo Kaka au unanishauri mimi tu
Shida kila cku lazm nionane nae coz ofis yngu ipo karibu na anapoishi na akipaitaga lazma atoe salamu atabasamu kdgo lkn nkigusia mambo flan hasomeki mkuu nitajitahid kupga kmyKama hakuelewi achana nae,inaonekana amesha kusoma kua wewe ni dhaifu sana kwake,umeonyesha udhaifu wa kumbembeleza sana,mwisho akajiona yeye ni hot cake kwako,
Jaribu kupiga kimya utaona yeye mwenyewe ndiye atakaye kutafuta.
Apo inabidi asindikize na kibao cha Bob marley_is this loveMwite kwako uweke songs za mahaba nyumba iwe kimahaba na upike vyakula vizuri kama chipsi na kuku , bites za nyama nyama, bites like crips, korosho , karanga na mitungi , mpe bobo la wine nyekundu au white ila we sweet , halafu funga madirisha kiasi weka mishuma na uwe umevaa kisasa unanukia umenyoa kila mahala pyhum iwe nzuri ya kisasa.
So acha hata hizi apple wanapenda mkishakula dinner toa sahani , halafu mnakaa mnaangalia katuni nzuri au movie nzuri za mahaba mkila cripsi , popcon na zile bites mkiongea unampa tungi .
Nyinginyingi basi unakula kilaini .
Akiamka asubuhi ni wewe ndio anakubless kwa breakfast yanguvu.
Mnakwama wapi??
Huna anayekupenda maana kuna ambao wanakufeel , mtu kama huyo anapenda wanaume wakumsotea sio wakukubali tu . Utaleta hiki atasema asante kwisha wala hatoonyesha kukubalia so ngoja nikupe mbinu ila ikibuma basi . Ila jua atakupendea huo udi tu na sio wewe labda umlee usepe .Kimuonekano nipo smart mrefu kiasi mwili wa mazoezi pesa zipo kiasi ila sio za kuchezea
Yeye ni mweupe anamwili wa kawaida shape ipo kiasi sura yenye mvuto mno inshort ni mrembo anajipenda sana
Anita ya Matonya.Wajuvi wa mambo ya mahaba nisaidie Tafadhali maana nimeshaimbisha sana kwa manzi flani lakini naambulia patupu.
Ingawa ana viashiria flani Kama vya kunikubali but ninapoimbisha anasema ana mtu wake, ni demu flani nilianzisha urafiki kabla baada ya muda nikaamua nimfungukie ila ananiwekea kikwanzo kwamba yupo kwenye mahusiano tayari.
Sasa Kuna idea imekuja kichwani mwangu kwamba nimtumie ngoma flani kali ya mahaba ya kumshawishi kisaikolojia nisaidieni ni nondo gani Kali inaweza kumfikilisha uyu mwali akanikubali mwamba.
NB: Sihitaji ushauri wowote kuhusu pesa.
Nzuri sanaApo inabidi asindikize na kibao cha Bob marley_is this love
Anita ya Matonya.