Naomba ushauri wa wimbo mzuri wa mapenzi

George Barran

JF-Expert Member
Sep 2, 2015
635
1,244
Wajuvi wa mambo ya mahaba nisaidie Tafadhali maana nimeshaimbisha sana kwa manzi flani lakini naambulia patupu.

Ingawa ana viashiria flani Kama vya kunikubali but ninapoimbisha anasema ana mtu wake, ni demu flani nilianzisha urafiki kabla baada ya muda nikaamua nimfungukie ila ananiwekea kikwanzo kwamba yupo kwenye mahusiano tayari.

Sasa Kuna idea imekuja kichwani mwangu kwamba nimtumie ngoma flani kali ya mahaba ya kumshawishi kisaikolojia nisaidieni ni nondo gani Kali inaweza kumfikilisha uyu mwali akanikubali mwamba.

NB: Sihitaji ushauri wowote kuhusu pesa.
 
Sina saliooo, bebe imedata na show.... shooo kali.

Sina kibunda, toto imewaka na show.... shooo kali.!

Mtumie hiyo utanishukuru badae.
 
Wajuvi wa mambo ya mahaba nisaidie Tafadhali maana nimeshaimbisha sana kwa manzi flani lakini naambulia patupu.

Ingawa ana viashiria flani Kama vya kunikubali but ninapoimbisha anasema ana mtu wake, ni demu flani nilianzisha urafiki kabla baada ya muda nikaamua nimfungukie ila ananiwekea kikwanzo kwamba yupo kwenye mahusiano tayari.

Sasa Kuna idea imekuja kichwani mwangu kwamba nimtumie ngoma flani kali ya mahaba ya kumshawishi kisaikolojia nisaidieni ni nondo gani Kali inaweza kumfikilisha uyu mwali akanikubali mwamba.

NB: Sihitaji ushauri wowote kuhusu pesa.
Uje_Neyba

Huu wimbo Hunikumbushaga Christina Moja ya mdada ambae tuli CLICK
Sijui atakua wap maana nimiaka Mingi sana tuli potezana

Tulikua tuna imbiana Kwa kupokezana...🙂🙂🤓🤓
 
Dah! we jamaa😁😁

Kuna mdada nlikuw naskiliza nae hyo ngoma kipindi hiko tunapiga tution kwa ngaiza! Popote ulipo we mdada bado nakumiss sana
 
Mwite kwako uweke songs za mahaba nyumba iwe kimahaba na upike vyakula vizuri kama chipsi na kuku , bites za nyama nyama, bites like crips, korosho , karanga na mitungi , mpe bobo la wine nyekundu au white ila we sweet , halafu funga madirisha kiasi weka mishuma na uwe umevaa kisasa unanukia umenyoa kila mahala pyhum iwe nzuri ya kisasa.

So acha hata hizi apple wanapenda mkishakula dinner toa sahani , halafu mnakaa mnaangalia katuni nzuri au movie nzuri za mahaba mkila cripsi , popcon na zile bites mkiongea unampa tungi .

Nyinginyingi basi unakula kilaini .
Akiamka asubuhi ni wewe ndio anakubless kwa breakfast yanguvu.
Mnakwama wapi??
 
Ngoja nijaribu hii inaweza fanya kazi ila ndo hadi akubali kuja hom kwangu usipokubali kuja je
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom