Mwite kwako uweke songs za mahaba nyumba iwe kimahaba na upike vyakula vizuri kama chipsi na kuku , bites za nyama nyama, bites like crips, korosho , karanga na mitungi , mpe bobo la wine nyekundu au white ila we sweet , halafu funga madirisha kiasi weka mishuma na uwe umevaa kisasa unanukia umenyoa kila mahala pyhum iwe nzuri ya kisasa.
So acha hata hizi apple wanapenda mkishakula dinner toa sahani , halafu mnakaa mnaangalia katuni nzuri au movie nzuri za mahaba mkila cripsi , popcon na zile bites mkiongea unampa tungi .
Nyinginyingi basi unakula kilaini .
Akiamka asubuhi ni wewe ndio anakubless kwa breakfast yanguvu.
Mnakwama wapi??