Naomba ushauri wa wimbo mzuri wa mapenzi

Naomba ushauri wa wimbo mzuri wa mapenzi

Wajuvi wa mambo ya mahaba nisaidie Tafadhali maana nimeshaimbisha sana kwa manzi flani lakini naambulia patupu.

Ingawa ana viashiria flani Kama vya kunikubali but ninapoimbisha anasema ana mtu wake, ni demu flani nilianzisha urafiki kabla baada ya muda nikaamua nimfungukie ila ananiwekea kikwanzo kwamba yupo kwenye mahusiano tayari.

Sasa Kuna idea imekuja kichwani mwangu kwamba nimtumie ngoma flani kali ya mahaba ya kumshawishi kisaikolojia nisaidieni ni nondo gani Kali inaweza kumfikilisha uyu mwali akanikubali mwamba.

NB: Sihitaji ushauri wowote kuhusu pesa.
Tatizo ni mdomo wako. Acha kula mapupu na utumbo wa kuku huko uswahilini.
 
Mtoa mada
Shukrani mkuu ngoja niutafute
Kwanza kuna huu ubani unaitwa mashtaka andika kwa makini, na udi ulizia wa mapenzi au huu udi mwenye kasha jekundu mbele kuna babu kajikalia huu ni mzuri , chukua pyhumu yako changanya na maji ya rose . Kidogo tu, . Anza hivi oga vizuri kabisa vaa kawaida kwako washa udi ila uwe tayari umeshawasha mkaa kwa mashtka unashtaki , rose umenikataa nimekuja kukuita uwe mpenzi wangu nataka nikikusalimia uniitikie , nitakachokuambia lolote lile ufanye, unasema kila utakacho,..

Halafu unaacha udi uliowaka uendelee kuwaka halafu unaendelea na ubani mashtaka unamwita aje kwako au akutafute popote ulipo asile asilale hadi uje kwake , huo ubani ukiupata aisee anakuja chapu tu walahi atakufuata .
Nipe mrejesho ila unakuwa unafanya hivyoo mara 1 tu asubuhi maana ndio unakutana naye waweza mchana kama unanafasi ila sio lazima uweke vyote unaweza washa udi pekee au mashtaka pekee fanya kwa siku saba . Tatu za mwanzo nipe mrejesho.
 
On touch naanza kazi,nitaleta mrejesho
 
Papuchi zimejaa tele sana unahangaika na moja utadhani anableed gold.
Tumia muda wako vizuri sio kupoteza kuwaza papuchi.
 
Mwite kwako uweke songs za mahaba nyumba iwe kimahaba na upike vyakula vizuri kama chipsi na kuku , bites za nyama nyama, bites like crips, korosho , karanga na mitungi , mpe bobo la wine nyekundu au white ila we sweet , halafu funga madirisha kiasi weka mishuma na uwe umevaa kisasa unanukia umenyoa kila mahala pyhum iwe nzuri ya kisasa.

So acha hata hizi apple wanapenda mkishakula dinner toa sahani , halafu mnakaa mnaangalia katuni nzuri au movie nzuri za mahaba mkila cripsi , popcon na zile bites mkiongea unampa tungi .

Nyinginyingi basi unakula kilaini .
Akiamka asubuhi ni wewe ndio anakubless kwa breakfast yanguvu.
Mnakwama wapi??
Unique Flower you seems to be talking from your own experience 😂
 
Nyimbo za mahaba zipo nyingi Sana ila kipengele Ni huwezi just Ni wimbo gani utakaomkosha.

Kama demu anakuzungusha zunga piga chini tafuta mwingine.Wanawake wapo wengi Sana huko nje.
 
The way you were advising that guy is a clear indication that you you have encountered the same scenario 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom