Mdau kakujbu hapo chini, ila kununua iphone 7 ni bora tu ununue simu ya android yenye latest android OS. Kwanza simu kama iPhone 7 haikai na charge sana pia huifaidi iOS 14 vya kutosha. Walau ununue hata iphone XrHabari zenu wakuu.Naomba msaada wa kujua aina gani ya Iphone ni nzuri ambayo bei yake ni kati ya laki 5 mpka laki 6?.Simu ambayo ina storage kubwa (64GB above)na camera yake ni nzuri.Itapendeza zaidi nikipewa chimbo zuri la kuipata dar.
Asanteni.
Kuanzia iphone 6s ina latest IOSIphone xr ndo yenye latest android OS?
Kama hana mambo mengi joh ni sim poa sanaa, ila kama anajijua n mtu mwenye mambo mengi tafuta android yako yenye specifications nzuri ui enjoyed maishaMdau kakujbu hapo chini, ila kununua iphone 7 ni bora tu ununue simu ya android yenye latest android OS. Kwanza simu kama iPhone 7 haikai na charge sana pia huifaidi iOS 14 vya kutosha. Walau ununue hata iphone Xr
Kabetry kake hako hakafiki hata 2000 mahKama hana mambo mengi joh ni sim poa sanaa, ila kama anajijua n mtu mwenye mambo mengi tafuta android yako yenye specifications nzuri ui enjoyed maisha
Sema uzuri n kwamba hiyo brand haiitaji mbwembwe nyingi ilikuwa designed kwa type flan ya income earnersKabetry kake hako hakafiki hata 2000 mah
Shida betry na akinunua refurbished bado akute battery health ni 85% ni shidaSema uzuri n kwamba hiyo brand haiitaji mbwembwe nyingi ilikuwa designed kwa type flan ya income earners
hahahaWe ni mwanamke?
Ni Simu Iliyotumika Huko Ughaibuni Kwanza Halafu Ndiyo Inaletwa Hapa Tanzania Ikiwa Wakati Mwingine Na Kila Kitu Chake!!!Asante.But nieleweshe unaposema refurbished una maana gan?
Ni simu zilizorekebishwa kurudishwa katika hali ya upya. Kwa mfano zinawekewa battery mpya, kioo kipya kma kilikua kimepasuka, housing mpya kama ilikua imechubuka sana, nk. Na refurbished zina madaraja yake yenye quality tofauti.Asante.But nieleweshe unaposema refurbished una maana gan?
Hahaha unampotosha mie niliamua kujaribu Iphone almost nina week ya 3 ni iphone 6S!Mdau kakujbu hapo chini, ila kununua iphone 7 ni bora tu ununue simu ya android yenye latest android OS. Kwanza simu kama iPhone 7 haikai na charge sana pia huifaidi iOS 14 vya kutosha. Walau ununue hata iphone Xr
uko sawa kabisa,lakini kuichallenge ios kwa kutumia android ya kwenye itel,ni kosa kubwa tena unatakiwa ukamatwe ufunguliwe kesi ya uhainiHahaha unampotosha mie niliamua kujaribu Iphone almost nina week ya 3 ni iphone 6S!
Niliagizisha ya soko la Canada! Iko freshi sana yani na ukizingatia nilikuwa natumia li Itel jamani tofauti yake na Iphone ni kama usiku na mchana! Kwanza iOS iko smooth kuliko android interms of loading apps! Natumia 1xbet kwenye android it was taking a lot of time kusubirie iload ila kwa iOS nikugusa tu kitu mwaaah! Mbali na yote natumia iOS 14 ambayo unasema hataipata na juzi wamentumia iOS 14.5 update ya GB1 sema sijaidownload bado!
Kwa support ya software pia naona iPhone wako vizuri sababu simu ya mwaka 2016 kupata support kwa miaka mitano mfululizo sio jambo dogo! Hamna android ya 2016 inayopata update ya OS current, labda utumbukize Rom za kudownload uchochoroni!
Kitu cha kiboya kuhusu Iphone ni power management tu! Aisee hii simu kabla sijatoka lazma nihakikishe iko na 100% kwanza walau ndio naweza survive nayo ila bila hivyo itazima kabla sijarudi home!
Nikiwa nafanya full matumizi naweza kuchaji mara 3 kwa siku kitu ambacho kwenye android phones kimetatuliwaga muda mrefu tu! Hawa jamaa sijajua kwenye yale ma Iphone kuanzia X na kuendelea ila haya matoleo kuanzia iPhone 8 plus kuja chini ni uongo! Battery health inasoma 100% ila simu haikai na chaji inaboa sana hasa kwa sie ambao simu hazibandukagi mikononi!