Naomba ushauri wa kupata simu ya nzuri za iPhone

Yaan Best ni utumie Wifi, Kama haiwezekan tumia data ila ukiwa unatumia data mara kidogo unazima then dakika 5 umewasha simu haijatulia ukazima tena mara unawasha kuna watu wanafanyaga hivyo, ukifanya hivi unadrain battery faster either zima data completely tumia wifi au acha data on zima background apps iPhone yako ita survive mda mrefu
safi sn kwa elimu nzur

Hivo ni mda gan sahihi wa data kuwa off na kuwa on

Yan angalau baada ya mda gan unaweza iwasha kama ulikua umeizima?
 
Wakuu kwa hiyo badala ya Sumsung A20 ipi inaweza kuwa mbadala wake kwa bajeti zetu hizi make inacheza 200,000 hadi 300,000? Ni simu ipi inaweza kufaa kqa kuanzia specifications na durability??
 
Jamani enhe nimesoma msg zote mpk nikafeel emotional yani..
Ila ni hivi iPHONE n iPHONE huwezi fananisha na android..japo iphone wanazngua tu kwenye battery ila najua watakuja kurekebisha tu..itel A56 ya 150,000 ina 5000mAh halafu iPhone 7 ya 550,000 ina 2900mAh yani inakera kwa kweli...ila kwenye sekta nyingine zote IPhone naona wapo vizuri hata mm nina mpango wa kurudi iphone baada ya kuiacha kwa muda mrefu kwa sababu ya masomo na ufinyu wa mshiko yani hela
wanajifanya wanaoptimize.

kwamba namba ya betry sio ishu,wakati kuna madude ya 6000mah,unakaa nalo siku mbili na halizimi.
 
Back
Top Bottom