Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

MMU inaanza kupoteza maana iliyokusudiwa! Story za kupika zinaboa sana!
 
hii ni ya kweli vp unaweza kunithibitishia ushahidi wowote kuwa huu ni uwongo
Hahahahaha
Mkuu Wewe una sahau sana hebu wasome tyta na watu8 wamekukumbusha! Mkuu umesahau Jf ina tunza kumbukumbu?
 
Haya mambo haya bhana..... Vijana wanaboa sana na mastor ya kutunga. Hawajui kama humu kuna vichwa
 
mmhhh kweli kaz ipo,mi thithemi kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…