Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

embu njoo uone uku kuna jitu limenichokoza REALITY
 
Last edited by a moderator:
Mimi sioni kosa hapo, maana mlikuwa hamfahamiani kabisa, na hamkujua kama ni ndugu!!!!!!!

Hapo unaweza mfungulia kesi baba yako kwanini hakukufahamisha wewe na familia yako kuwa sehemu flani ana mtoto!!!
 
Mkuu watu8 huyu jamaa 7 5 mm pamoja na tumboo na umukagame hapa jamvini ni michosho tuu...mara waanzishe sredi kwa kutumia Id nyingine wajijibu kwa Id ya pili...mara waanzishe story za pumba...yan ni mchelemchele tu...Bora wewe unawakeep in mind siku wakizingua unawamwagia pumba zao kweupee...kamata like mkuu

we jamaa hufai kuwa mpelelezi bado LEARNER
 
Last edited by a moderator:
Habar ya mda huu wadau,

Moja kwa moja niende kwenye maada. Mkasa huu umenikumba nikiwa nafanya kazi mkoa flani kanda ya kati. Katika eneo ambalo nilikuwa naishi ni karibu na sehemu ambayo baba yangu alikuwa anafanyia kazi kabla ya kustaafu na kurudi nyumbani kwake namaanisha mkoa alikozaliwa yeye ambao upo kusini nyanda za juu.

Wakati baba anastaafu na kurudi mkoa aliozaliwa mimi na nikabaki mkoa huo huo aliokuwa anafanya kazi sikuweza kuhama naye kwasababu nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano .

Katika kipindi alichokuwa anafanya kazi kumbe alizaa nje ya ndoa na mwanamke mmoja lakini baba hakuweza kumhudumia yule mtoto kitendo ambacho kilimfanya mama mtoto asimweke karibu na baba.

Hata yeye baba hakuwahi kutuambia kuwa aliwahi kuzaa nje ya ndoa. Katka kipindi chote hicho mama huyo na mwanaye walikuwa wakiishi mbali kidogo na wilaya yetu.

Basi katika mizunguko ya kazi hapa na pale nilikutana na dada huyu ambaye ndiye nimezaa naye pasina kujua ni dada yangu. Tulikutana kwenye semina mkoani Kilimanjaro kama ilivyo kawaida ya wanaume nikamuaproach yule dada na akaingia line. Tukaanza kujihusisha kimapenzi kwa muda wa mwaka mzima mpaka alipopata ujauzito.

Ikanilazimu niukubali ule ujauzito na nikatafuta wazee wa mtaa ninaokaa na kwenda nyumbani kwa mwanamke ili kujitambulisha. Yule mama mkwe ambaye ni mama mdogo kihalali alipoona majina yangu matatu akapatwa na wasi wasi japo barua ilipokelewa.

Ikabidi akanitafuta kwa kuniuliza kiundani nilipojieleza ndipo akasema huyu uliyempa mimba ni dadayako tena wa damu.

Kwakweli niliishiwa nguvu akaanza kunisimulia kila kitu kuhusu baba yangu. Mpaka hapa ninapo andika mwanamke ameshajifungua na mtoto ana miezi 5.

Baba sijamwambia bado ila nataka nimpeleke huyu binti nyumban kwetu. Na hii siri naijua mimi na mama mkwe au mama mdogo.

Sijajua nifanyeje mama mwenyewe ameshindwa afanye nini, tunaogopa kuwashirikisha watu aibu.

Kazae na mwanao tena
Ukipigwa shavu moja mpe shavu la pili
 
Et double id's afu limenimention yan kuna mijitu michoko kweli......

achana nae huyu si yupo pale corner bar ambiance anasubiri wateja afu anajikuta malaika ,we anti G Sam leave my wife st.upid
 
Last edited by a moderator:
achana nae huyu si yupo pale corner bar ambiance anasubiri wateja afu anajikuta malaika ,we anti G Sam leave my wife st.upid

Bamed heheeeeees nicheke mie ck nyingne atonichokozaa
 
Last edited by a moderator:
achana nae huyu si yupo pale corner bar ambiance anasubiri wateja afu anajikuta malaika ,we anti G Sam leave my wife st.upid
like a wife like a husband...Both are the subset of ignorance...!That's the reality u know..!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom