Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

hii ni ya kweli vp unaweza kunithibitishia ushahidi wowote kuwa huu ni uwongo
Hahahahaha
Mkuu Wewe una sahau sana hebu wasome tyta na watu8 wamekukumbusha! Mkuu umesahau Jf ina tunza kumbukumbu?
 
Haya mambo haya bhana..... Vijana wanaboa sana na mastor ya kutunga. Hawajui kama humu kuna vichwa
 
Back
Top Bottom