young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
Kipindi Unananiii ulimuomba nani ushauri..kafie mbali kuleee.
Kipindi Unananiii ulimuomba nani ushauri..kafie mbali kuleee.
dadako mtamu?
Mkuu wangu kutokutuomba radhi haututendei haki members wenzako hapa na tutachukulia kama ni dharau kubwa umetuonyesha!
Ndiye huyu huyu mke wako ambaye pia ni dada yako mwezi uliopita alikuwa anastarehe yy tu kitandani tena akiwa na mtoto wa miezi 4 akizaa na ww kaka yake?
Ehehehehe mkuu tuomba radhi bana
ukipigwa kwenzi usinitafute nikutetee...!!
Haramu, haramu unaacha kuanzia pale ulipopata ukweli huu
Ha ha ha ha, mchokozi afu sina nguvu.
Ila nina mbio kama Husein Bolt.