Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

Naomba ushauri: Nimezaa na dada yangu

Habar ya mda huu wadau,

Moja kwa moja niende kwenye maada. Mkasa huu umenikumba nikiwa nafanya kazi mkoa flani kanda ya kati. Katika eneo ambalo nilikuwa naishi ni karibu na sehemu ambayo baba yangu alikuwa anafanyia kazi kabla ya kustaafu na kurudi nyumbani kwake namaanisha mkoa alikozaliwa yeye ambao upo kusini nyanda za juu.

Wakati baba anastaafu na kurudi mkoa aliozaliwa mimi na nikabaki mkoa huo huo aliokuwa anafanya kazi sikuweza kuhama naye kwasababu nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano .

Katika kipindi alichokuwa anafanya kazi kumbe alizaa nje ya ndoa na mwanamke mmoja lakini baba hakuweza kumhudumia yule mtoto kitendo ambacho kilimfanya mama mtoto asimweke karibu na baba.

Hata yeye baba hakuwahi kutuambia kuwa aliwahi kuzaa nje ya ndoa. Katka kipindi chote hicho mama huyo na mwanaye walikuwa wakiishi mbali kidogo na wilaya yetu.

Basi katika mizunguko ya kazi hapa na pale nilikutana na dada huyu ambaye ndiye nimezaa naye pasina kujua ni dada yangu. Tulikutana kwenye semina mkoani Kilimanjaro kama ilivyo kawaida ya wanaume nikamuaproach yule dada na akaingia line. Tukaanza kujihusisha kimapenzi kwa muda wa mwaka mzima mpaka alipopata ujauzito.

Ikanilazimu niukubali ule ujauzito na nikatafuta wazee wa mtaa ninaokaa na kwenda nyumbani kwa mwanamke ili kujitambulisha. Yule mama mkwe ambaye ni mama mdogo kihalali alipoona majina yangu matatu akapatwa na wasi wasi japo barua ilipokelewa.

Ikabidi akanitafuta kwa kuniuliza kiundani nilipojieleza ndipo akasema huyu uliyempa mimba ni dadayako tena wa damu.

Kwakweli niliishiwa nguvu akaanza kunisimulia kila kitu kuhusu baba yangu. Mpaka hapa ninapo andika mwanamke ameshajifungua na mtoto ana miezi 5.

Baba sijamwambia bado ila nataka nimpeleke huyu binti nyumban kwetu. Na hii siri naijua mimi na mama mkwe au mama mdogo.

Sijajua nifanyeje mama mwenyewe ameshindwa afanye nini, tunaogopa kuwashirikisha watu aibu.

hakuna kilichobaki hapo ni kuoa tu
 
mkaze pu.mbu vizuri tena hakikisha unamkojolesha asikuchezee kabisa huyo
 
Mkuu bado ile sredi ya vaisley banah...Ila jamaa ni msanii..Imagine watu wamekomaa na keypads wakimwaga maushauri...!

kofyakah..wewe jamaa punguza kamba banah..!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 huyu jamaa 7 5 mm pamoja na tumboo na umukagame hapa jamvini ni michosho tuu...mara waanzishe sredi kwa kutumia Id nyingine wajijibu kwa Id ya pili...mara waanzishe story za pumba...yan ni mchelemchele tu...Bora wewe unawakeep in mind siku wakizingua unawamwagia pumba zao kweupee...kamata like mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kosa sio.lako n.la baba ako though umezini kabla y ndoa lakin.wa kulaumiwa n.baba yako pole sana mkuu

this is wat is wrong with tz society...transering blame. yeye ndio tatizo kwa nini anagegeda nje ya ndoa.
 
another reason why pre-marital sex is not permitted
 
hahahaha Tyta na watu8 mnaharibu movie bwana lol

kati ya watu walioko kwenye list yangu muhimi mmoja wapo ni Tyta nadhani hata yeye anajua

inaboa whywatu watunge stor kuomba ushauri while its damn fake one????lazima waaibishwe kukomesha hii mambo

long live Tyta
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 huyu jamaa 7 5 mm pamoja na tumboo na umukagame hapa jamvini ni michosho tuu...mara waanzishe sredi kwa kutumia Id nyingine wajijibu kwa Id ya pili...mara waanzishe story za pumba...yan ni mchelemchele tu...Bora wewe unawakeep in mind siku wakizingua unawamwagia pumba zao kweupee...kamata like mkuu

Mxiuuuuuuuu pumba wewe ujielew unachoongea unatafta sifa apa wenzio wanatafta sifa bungen na sio hapaa maninaa weeee
 
Last edited by a moderator:
Mxiuuuuuuuu pumba wewe ujielew unachoongea unatafta sifa apa wenzio wanatafta sifa bungen na sio hapaa maninaa weeee
Wee chi..zi fresh kweli...una akili kama za kuku ndo maana unafanya utoto..Ndo umeandika nn..?
 
Wee chi..zi fresh kweli...una akili kama za kuku ndo maana unafanya utoto..Ndo umeandika nn..?


We kinachokuuma nini ucnichokonoe kiivyo fanya yaliokuleta umu na sio kufatilia maisha ya watu ukiona mada haikuhusu unaipotezea we ndio mburula wa mwisho wenzio wanakoment we unajifanya mxiuuuuu pita mbaliii
 
Mwendawazimu wewe kwenda kafie mbali manyoooo zakoooo

Huna jipya kubishana na kidude kama wewe napoteza muda tuu...lala salama ee..! Ila punguza utumwa upate faraja..bye..!
 
Ndio hasara ya kubandu.ana kabla ya ndoa.Tafakari chukua hatua!

yaani wewe umeongea ukweli. tungekuwa na watu kama wewe mie sidhani kungekuwa na michepuko. watu full kuoana ndio kugegedana
 
Huna jipya kubishana na kidude kama wewe napoteza muda tuu...lala salama ee..! Ila punguza utumwa upate faraja..bye..!

Mi kidude we msukule f.ala wewe peleka p.... zakoo uko kubishana na chiz fresh ni kukosa kaz kikaragos wee emb kwenda unaongea vitu huna uhakikaa afu huna hata haya kumention watuu ka.haba la kiume weee
 
Back
Top Bottom