Naomba ushauri: Nijiajiri au niendelee kuajiriwa?

Habari.

Naomba ushauri aise katika hili. Nataka kuanzisha biashara yangu binafsi ya genge mix duka. Mpk dk hii tyr 90% nimeshafanya nimekod fremu meza shelf tyr nimetengeneza na rangi safi nyeupe nimepiga. Ila nakabiliwa na mgogoro wa baina ya mawazo yangu na mawazo ya wazazi wangu.

Wazazi wananiambia nisiache kazi. Me mawazo yangu nataka kuacha kazi. Maana kipato nachoingiza ni kidg mno ukilinganisha na mtaji ambao naotaka kuuweka kwenye duka langu.

Nataka kuacha kazi kwakuwa nataka nilinde mtaji wangu ninaotaka kuuweka dukani na kwenye gengelangu. Maana nimesota sana mpk kupata mtaji huo.

Wananishauri niweke kijana lakn akili yangu na fikra zangu zinaniambia nisimamie kazi yangu. Yan napata roho ya ujasiri inayoniambia simamia kazi yako. Rizk sio mpka ajira. Hta ukijiajiri mwenyewe pia utapata mafanikio makubwa kuliko kusubiri laki 3 ya muhindi
Ukiacha kazi na kwenda kujiari utakuwa umeisaidia serikali kutatua tatizo la ajira...Tungepata watu elfu 10 wa sampuli yako hii nchi ingekuwa tajiri sana.
 
Biashara unaweza kuanza kupata faida baada ya miezi 6 sijui umejipangaje by the way maisha hayana formula amua unavowaza ukiyoboa kila mtu atakusifu na kukuona shujaa ukifeli utadharaulika sana
 
Kwakukupa ushaur bora kwanz ujiajiri mwenyew ila uwenamtaji unao weza kuendasha hilo duka ila tambua duka likianza halina faida dukubwa hivyo inabidi uwemvumilivu kuajiriwa ni utumwa mambo leo umenipata mkuu
Nimekusoma mkuu
 
Biashara unaweza kuanza kupata faida baada ya miezi 6 sijui umejipangaje by the way maisha hayana formula amua unavowaza ukiyoboa kila mtu atakusifu na kukuona shujaa ukifeli utadharaulika sana
Sure hakuna formula ya maisha aise. Chochote popote panaweza pakawa na faida
 
Jiajiri.

Be strong uamue.

Niliajiriwa more than 30 years, kweli nimejenga ila kwa kujibana sana.

After my retirement nijiingiza ujasiriamali, small shop nauza nafaka, tuseme inalipa, ningeanza nikiwa na nguvu ningekuwa tajiri.

Muhimu uipende na usimamizi wa 100%·

Tuseme huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa, sure nawaambia labda uwe mwizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom