Jay10
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 711
- 533
Shukrani kwa maelezo mujarab kaka.... Safiiii
Tvs ndo mpango, ina nguvu na inadumu sana, na muonekano safi. Hata fuel consumption iko vizuri. Hata njia za vumbi inadumu, sio kama Boxer mayai
Sema tu, stability ukiwa katika speed kubwa sana kama ina kuwa nyepesi mno ,hapo boxer ndio wapo vzuri.
Kama wataka kazi kazi, hata kubeba miizigo, mishkaki, sun lg, Hauje ndio best, shock up zake ngumu, inadumu, ina nguvu, sema muonekano ndio sio mtamu. Unaweza paki sehem watu wakajua wew ni boda boda, miluzi ikawa mingi.
Honda ipo kote ime balance.
Hizo zingine sijawah tumia