huku kwetu
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 145
- 194
Mi ni mwanamke na nina familiaAnzisha familia hesabu zitajipanga vizuri, maana hesabu zimekuwa ngumu kwa wengi kuanzia mashuleni mpaka maghetoni,
Ukisha oa utakuwa master
Asante kwa pongezi, pili sijui nina pepo gan hata niweke tustrategy utakuta ela matumia tu.Daah hongera kwanza kwa kupata ajira maana ni changamoto
Pili rafiki angu ‘What your goal to this life’ yaan Plan au mipango? Mimi naamini mtu mwenye mipango haez ishiwa to that extent.
Shemeji yeye kasemaje? Nataka nikushauriMi ni mwanamke na nina familia
Nashukuru kwa kunipa aida hiyo mpendwaGoogle kitu kinachoitwa Personal Budget Format zitakuja za kila aina utachagua inayoendana na Daily Money Spending yako Monthly, Weekly or Yearly. Good luck pal and God watch over you.
Asante ntafuata ushaurikupanga ni kuchagua, chagua unavyotaka kununua ambavyo ni vya lazima, andaa bajeti yake na ukanunue vya kukutosha muda unaotaka wewe na uache kununua vitu vya muhimu ila siyo vya lazima kwa jinsi wewe mwenyewe utakavyoona
Ushauri unauwalakini huu, haifai kuchukuliwa kwa uzitoAnzisha familia hesabu zitajipanga vizuri, maana hesabu zimekuwa ngumu kwa wengi kuanzia mashuleni mpaka maghetoni,
Ukisha oa utakuwa master
Mi ni mwanamke na nina familia
Nilipo nimepanga kwa hizo biashara haiwezekan icecream umeme tupo wapangaji wawili, kuku hamna sehemu ya kufugiaBasi funga icecream uuzie kwako au fuga kuku uuze mayai utapata alternative income kama utaweza lakini.
Nashukuru kwa ushauriAcha kula vitu vya bei kubwa hasa breakfast jibane kidogo.
Home re-budget yaani panga upya hakikisha mnakula kwa nusu ya bajeti ya sasa,
Punguza misaada, punguza kutembelea ndugu.
Usikopeshe / usihonge mtu mshahara.
Hizo hela zinazokushinda kubajeti ni kiasi gani??Habarini wakuu,
Samahani mimi ni mwajiriwa wa serikalini ivi karibuni, shida yangu jmn siwezi kabisa kubajeti hela. Sawa mwanzoni mwa mwezi nanunua kila kitu.
Ambacho nakuwa sina labda mboga mboga hizi. Na nikasema labda nitumiage 10 per wiki kutokana na mazingira ya kijijini. Sasa yani nikichenji hiyo kumi ndani ya siku mbili au tatu sina hela.
Na hivi NMB wakala ni hapo nje naenda natoa. Siku mbili sina kitu. Sisaidieni nifanyeje niweze kuhimili maisha ukizingatia ndo naanza kazi na kamshahaea kenyewe la laki 4 na
Tafuta sponsor utakuwa hugusi pesa yako, mshahara wa November utakuta unagongana na wa December bila kuugusa.Mi ni mwanamke na nina familia