Naomba ushauri Namna ya kuingia katika Taasisi za Kiserikali na Binafsi

Reachpoint

Member
Oct 7, 2023
15
17
Habali nduguzo.

Naombeni ushauri namna ya kuomba kibali cha kuonana na mkurugenzi au HR wa Taasisi tofauti tofauti.

Nia na dhumuni, nina biashara yangu nataka ianzisha mda si mrefu ntakuwa nimesha sajiliwa kama kampuni na brela.

Nahitaji kujua taratibu za kuomba kibali cha kuonana na Mkurugenzi wa Taasisi husika ili niweze kupewa kibali na nafasi ya kuonana na wafanyakazi na kutangaza huduma zangu wakiwapo maofisini.
 
Andika barua kwa mkurugenzi mkuu wa taasisi husika ukimuomba ruhusa ya kufika na kutangaza biashara yako kwa watumishi.

Kama matangazo ya biashara yako yanahusisha kuwakusanya watumishi na kuwapa semina, inabidi uspecify aina, na idadi ya siku unazohitaji. Kama unataka tu sales people wako wakae pale nje na meza na tent na brochure then watumishi wakiwa wanapita kwenda luch au issue zingine, wanapita pale wanapewa shule na vipeperushi then wananunua/jiunga na hiyo huduma yako.

Taasisi watakujibu kwa barua kukubali/kukataa ombi lako. Incase wamekubali watakupa contact person atakaekuassist kwenye logistics na utaratibu mahususi wa kufanya matangazo yako hapo.​
 
Asante Sana Ndugu.
 
Back
Top Bottom