Wanaume tuwe na tabia ya kuzihudumia familia zetu. Yani una kipato lakini mke anatoa matumizi tangu 01.01...hadi 31.12....wewe unakula tu huoni aibu.? Kwa hili namuomba maulana anisaidie asee!
Mwanamke ana uwezo mkubwa kumrejesha mwanaume katika mstari. Kumbuka kauli yako na supply ya K ni muhimu katika kumrejesha katika mstari. Kuna vitu huwa nyie mnajisahau kama kubase upande wa ndugu zenu. Kama hujali ndugu zake hilo nalo lirekebishe. Angalia wanyama kama kuku, kila wakati yakiwepo madume mawili hata kama majike ni mia yatapigana, hii ni nature ambayo mwanaume ni mbinafsi kwa mkewe. Ngoja nikupe maujanja kidogo, leo ukirudi nyumbani mwambie mume wako kuwa sawa mjenge hicho kiwanja kwa jina lake utaona atakavyofurahi. Nimekuuliza kama ni ndoa mseto yaani kabila x na kabila y, hukujibu ungelinijibu ningekupa akili. Kumbuka katika maisha yako sisi ni vilaza kwa akili ya mwanamke na mwanaume hutengenezwa na mwanamke asikuambie mtu. Cha mwisho wakati wa mahanjumati jaribu kuwa unatabasamu na kuwa karibu naye utaona atabadilika tu. Nakueleza tokana na experienceAsante mkuu kampelewele Sikuanza hivyo ila kuna viashiria nilivyoviona vikawa vinanipa cold feet. Hivi ni kwa nini mwanaume mwenye uwezo wa kutunza familia yake adanganye hana uwezo ili mkewe amtunzie wanawe wanne wakati yeye akila bata tu?
Baada ya hapo nategemewa nisiwe na wasiwasi wowote kwenye proposal ya ku invest pamoja? Kama ndo huo mguu nje unakuja kwenye mazingira haya mkuu.
....mmmmmmmmmmmmmmmh
ndugu wewe ndio unamjua mumeo.....
wewe ndio umeona viashiria hatarishi kwa mumeo
fuata moyo wako unavyotaka....
And now yo talking
Ndoa hii ni kati ya familia ninazosema ni mchanganyiko maana kuna familia ya kwanza ni Baba na wanae wawili alowakuta huyu jamaa yetu; ya pili ni Baba na wanae wa huyu rafiki yetu; ya tatu ni mama na wanawe wawili (biological children) na ya mwisho ni ile ya WOTE sita. Katika hili jina la mtoto au jina la mama ni hatari bora la kiunganishi ambaye ni BABA. Hivi nyumba ni kitu gani mbona tunafiwa na wazazi tunasahau? Jamani hivi vitu vinavyopita visivuruge amani ya familia.And now yo talking
Mie sijakucheka wewe mpendwa, nilicheka mentor aliposema nisipite hapa, kwakweli sikushauri mjenge ktk kiwanja hicho, either kibadilishwe jina ama mnunue kipya, na hakikisha hakutegei tena katika ujenzi.
Mwanamke ana uwezo mkubwa kumrejesha mwanaume katika mstari. Kumbuka kauli yako na supply ya K ni muhimu katika kumrejesha katika mstari. Kuna vitu huwa nyie mnajisahau kama kubase upande wa ndugu zenu. Kama hujali ndugu zake hilo nalo lirekebishe. Angalia wanyama kama kuku, kila wakati yakiwepo madume mawili hata kama majike ni mia yatapigana, hii ni nature ambayo mwanaume ni mbinafsi kwa mkewe. Ngoja nikupe maujanja kidogo, leo ukirudi nyumbani mwambie mume wako kuwa sawa mjenge hicho kiwanja kwa jina lake utaona atakavyofurahi. Nimekuuliza kama ni ndoa mseto yaani kabila x na kabila y, hukujibu ungelinijibu ningekupa akili. Kumbuka katika maisha yako sisi ni vilaza kwa akili ya mwanamke na mwanaume hutengenezwa na mwanamke asikuambie mtu. Cha mwisho wakati wa mahanjumati jaribu kuwa unatabasamu na kuwa karibu naye utaona atabadilika tu. Nakueleza tokana na experience
Tatizo la kutopenda kushuka halijengi ndoa kama umeolewa. Kisasi ni sumu ya ndoa. Asipojali upande wa kwako mfundishe kwa kujali upande wa kwake. Jino kwa Jino si ndoa ndugu yangu lazima mmoja ashukehayo hapo ndo mambo nisiyoyataka....we mwanaume kama hajali mke na watoto inamaana hata mama yako mzazi hawezi mpelekea upande wa kanga...leo ukawajali ndugu zake kwa lipi???? unajua siku zote mapenzi, heshima goes both ways...hata siku moja usitarajie kufanyiwa kinyume na unachofanya...huyo mwanaume ni mchoyo..ana roho mbaya na mbinafsi.. anaona bora pesa ya mwanamke itumike na iishe lkn yake ijazane benki...basi na kwenye nyumba atakuja kufanya hvyo hvyo...!!!!
Tatizo la kutopenda kushuka halijengi ndoa kama umeolewa. Kisasi ni sumu ya ndoa. Asipojali upande wa kwako mfundishe kwa kujali upande wa kwake. Jino kwa Jino si ndoa ndugu yangu lazima mmoja ashuke[/QUO
labda kama moyo wake wa nyama wangu ni wachuma...lkn kama yote sawa then hili litakua ngumu...!!!!
Punguza jazba dawa ya moto si moto ila majilabda kama moyo wake wa nyama wangu ni wachuma...lkn kama yote sawa then hili litakua ngumu...!!!!
Msiwatese watoto kwa ujinga wenu
Ulipompenda si uliona hayo majukumu. Ukipenda boga .......
Mambo ya ndoa raha sana, hasa mwanamke akiachiwa kucontrol familia (kwa kiburi chake) huwa ameonewa na kuhisi kunyanyaswa. Nadhani ushauri wako hakuzingatia maelezo ya upande wa pili ingawa unaweza kuwa sahihi hata kama huna au sina uhakika.kamwe usijenge kwenye hiko kiwanja utasaga meno,
abadilishe jina na mwanaume aliyezaa na mwanamke mwingine wana matatizo sana kuna leo na kesho,haelewi somo kuwa mjinga kaa kimya kwani viwanja sh ngapi bana?utanunua chako utawajengea wanao.
Watoto ni wake si wakwako so jiongeze
hapo kuna vitu umechanganya paragraph ya kwanza na ya mwiso mstari wa kwanza each.Habari zenu,
Ni hivi nimeolewa, mume wangu ana watoto 2 kabla ya ndoa yetu nasi tuna watoto wawili. Wote ni
Najiuliza sasa tena tujenge wote kwenye kiwanja chake? Pia mwenzangu ana watoto 4 mie nina wawili
mmh hujui tu namna ngoma inavyo wambwa....ukishiriki siku moja utaelewa cha kuongea kwenye ngozi hii.1. kosa la kwanza ni 'kuoana' badala ya wewe kuolewa na yeye kukuoa,
2. Pili, kama anataka mjenge nyumba ya familia basi ni vyema hiyo hati ya kiwanja iwe na 'joint ownership' yaani mkabadilishe ili rohoni mwenu na nje kwa watu wote na objectively ijulikane ni mali yenu. Kama akikataa, basi mpango huo inabidi uwe hadithi kwani huyo jamaa na hayo majibu yake hamtafika mbali.