Heheee hela siyo zangu hili jibu hili!
anakiita "chetu" but ni "chake" legally! La sivyo mbona hataki kukiweka "chetu" kimaandishi?Mjenge kiwanja chake au chenu? Kwani ni yeye aliyesema mjenge kiwanja chake, au ni wewe umeamua kukiita chake? Yeye anakiitaje? chake au chenu?
kamwe usijenge kwenye hiko kiwanja utasaga meno,
abadilishe jina na mwanaume aliyezaa na mwanamke mwingine wana matatizo sana kuna leo na kesho,haelewi somo kuwa mjinga kaa kimya kwani viwanja sh ngapi bana?utanunua chako utawajengea wanao.
Watoto ni wake si wakwako so jiongeze
Hili la mguu mmoja ndani na mwingine nje ni kwa wote. Si ajabu na yeye anadhani ipo siku mtaachana hivyo kama akina Mentor walivyosema ni bora mkajenga uhusiano wa kwenu kwanza. Sijui ni salama au si salama kujianika hapa, ingalikuwa ni salama ungenieleza unatoka pande ipi ya TZ na kama ndoa yenu ni ya mseto maana haya masuala ni mazito.Asante mkuu. Sikuanza hivyo ila kuna viashiria nilivyoviona vikawa vinanipa cold feet. Hivi ni kwa nini mwanaume mwenye uwezo wa kutunza familia yake adanganye hana uwezo ili mkewe amtunzie wanawe wanne wakati yeye akila bata tu? Baada ya hapo nategemewa nisiwe na wasiwasi wowote kwenye proposal ya ku invest pamoja? Kama ndo huo mguu nje unakuja kwenye mazingira haya mkuu
Wanaume tuwe na tabia ya kuzihudumia familia zetu. Yani una kipato lakini mke anatoa matumizi tangu 01.01...hadi 31.12....wewe unakula tu huoni aibu.? Kwa hili namuomba maulana anisaidie asee!
Mkuu atoto karibia nilie mwenzio... tafadhali usinicheke katika kipindi hiki kigumu kwangu, nina mawazo kibao. Kama una ushauri naomba mkuu
Umeona eee... yaani kuna majibu mengine ya wanaume dah!
anakiita "chetu" but ni "chake" legally! La sivyo mbona hataki kukiweka "chetu" kimaandishi?