Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,890
- 7,044
What goes around comes aroundMla vya wengine vyake pia huliwa.pole sana

Mkuu wewe ni mjuvi kuliko jf owners!? Kama nimefichua taarifu mods wanipige ban,unajua kuwa kufichua identity ya mtu ni kosa hapa jamvini,kama ni kosa mbona mimi sijapigwa ban !?Hakukuwa na ulazima wa kuonyesha identity ya mwalimu mwenzio. Sijui huwa mna matatizo gani hiyo kada, kwanini huwa mnachukiana hivi hata kama hamjuani?
Mwalimu mwenzenu Mpwayungu akisema ni kazi ya laana sometimes azingatiwe. Sasa unafurahia changamoto za mtumishi mwenzio
Ticha achana na namba ya simu muelewe mkeo. Kama kamkataa na ushahidi umeona unataka nini kingineMimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.
Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:
1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.
Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.
Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
siku nyingine ukiona vitu kama ivyo mpige show.Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.
Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:
1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.
Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.
Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Zingatia kauli yake ya mwishoni hapo..... kiufupi keshaliwa kulipiza kisasi cha sms alizozikuta kwako.Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.
Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:
1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.
Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.
Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Jinyonge.Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.
Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:
1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.
Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.
Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
.... kabisa kabisaAcha kumfatilia mkeo afadharu ushajua juwa jamaa kakataliwa wewe fanya mambo yako tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weka namba ya wife wako nimpe maelekezo mafupi ya kukuheshimu
AahaaaaaaaMafisi mnapeana connection TU [emoji28]
Mkewe Yuko smart sn,Nakushauri kama mtu aliye kwenye ndoa!
1. Mwanamke yeyoye mwenye mvuto lazima atongozwe mara kwa mara. Ulimwengu wa sasa ndivyo ulivyo. Mwanamke asipotongozwa kama sio Muumini mzuri wa neno la MUNGU anaweza kwenda kwa waganga kwamba siku hizi hatongozwi.
2. Tofautisha kutongozwa na kukusaliti kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa. Mwache mkeo atongozwe ili ajione ana mvuto na awe comfortable hata kwako, yaani awe na ile hadhi ya kike.
3. Kama kwenye maisha yako huna utaratibu wa kukaa na simu yake au yeye kukaa na simu yako, endeleeeni tu na utaratibu huo huo. Mabadiliko ya gjafla kwenye uhuru wa simu zenu yanaleta shida. Ila mngekuwa na uhuru kwenye simu zenu bila mipaka, hii isingekuwa shida.
4. Kuonyesha kwamba humwamini mkeo, au mkeo kuonyesha hakuamini ni chanzo kikubwa cha migogoro kwenye ndoa. Kamwe usionyeshe humwamini mkeo. Isipokuwa mwambie kabisa awe anajua msimamo wako mapema kuhusu usaliti. Anatakiwa ajue akikusaliti nini kitatokea. Hii mada anatakiwa aijue mkiwa kwenye maongezi ya kawaida kabisa, na usisubiri umshuku ndio uiseme. Iweke clear mapema sana, na normally isisitize. Wengine huwa tunaisisitiza hii pale tunapotupia wazungu baada ya kuwasifia wake zetu kwa utamu wanaotupa wakati wa match, tena hapa huwa inawaingia kweli kweli.
Kila la kheri mkuu.
N.B. ukiwa na hizo perceptions mbovu mkeo akikaa dukani ndio itakuwa worse.