Naomba ushauri: Kuna mtu kamtongoza mke wangu

Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.

Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:

1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.

Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.

Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sema Mwalimu atapewa tu akikomaa. Sasa hivi anapewa mwingine humjui. Utakufa si siku nyingi achana na K ya mke wako yupo huru kumpa yoyote.
 
Mkuu mkeo kutongozwa tu umeandika uzi mrefu, ukichapiwa si ndo utaenda kuzindua kitabu kabisa
 
1.Kwanini aache meseji za sent... Halafu afute za inbox?... Huyu mwanamke mjanja sana ndugu yangu,,, basi kama vipi angeacha zote izikute kama hakuna kinachoendelea..
2.Kwanini hataki kukupa namba yake??

INAWEZEKANA...Ashaliwa...au anaelekea kuliwa...Be careful ndugu yangu...
Alisema kuwa kaacha sent items kwa kuwa simu yake n ndogo, hivo n rahisi kufuta inbox ili kuruhusu simu nyingine kuingia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Alisema kuwa kaacha sent items kwa kuwa simu yake n ndogo, hivo n rahisi kufuta inbox ili kuruhusu simu nyingine kuingia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hiyo sababu haishawishi...basi angefuta zote...na izo za sent. Kiufupi hizo sms za inbox ndo zina uzito mkubwa.. siku zote meseji za inbox ndo huwa zina contents ndo maana kaamua afute izo
 
Mwezi huu ni mbaya sana kwangu ktk mahusiano na mke wangu, kwa kuwa n Mambo kadhaa yamenijiri yanayohusu Mimi na wife ambayo yako negative, nimekuwa na msongo kuliko wakati wote wa maisha yangu... Kwa Sasa naona natulia.
Hapo nyuma sikuwa muhudhuriaji sana wa night club, lakini kwa Sasa naenda walau Mara 2 au 3 kwa wiki kila ninapotoka ktk mihangaiko, then napiga grand malt 1 kwa buk2, nakaa humo Kama Dak 45 tu hivi then Naondoka narudi home

Kuna siku 1 nilikuwa dukani kwangu, Kuna mdada m1 anaishigi nymba ya jirani na hapo dukani akanibip, nikampigia, n mdada ambaye ameonyesha kunipenda/kunitaman kimapenzi kwa muda mrefu sema nimekuwa nikimpiga kalenda Mara kwa Mara,,, ktk maongeza akasema inaonekana mke kanishika sana kiasi n Kama kashanitilia rimbwata,,, nikashtuka kiasi....
...baada ya Kama wk 1, ck 1 nikawa nimetoka dukani naenda dukani lililo mtaa wa pili,, karibu na dukani kwangu Kuna akina dada walikuwa wamekaa, n watu nliozoeana nao na n wateja wangu sana, m1 wao akaniita, nikamambia njoo wewe, mwenzake akasema usimuone hivo anamuogopa sana mke wake,,, nikaachana nap mi nikaendelea na safari yangu, nikaunganisha sentesi ya yule ktk simu, na huyu ambaye alikuwa na wenzake

Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,...

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu 🤣🤣🤣

Wewe jua kwamba mkeo anatongozwa mara kibao tu, na pengine zipo idadi alizoliwa pasipo wewe kujua, na katika hizo idadi alizoliwa zipo zile chache kama moja au mbili alizokuzalia kajunior ka mwanaume mwingine...
 
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

It can't be

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe jua kwamba mkeo anatongozwa mara kibao tu, na pengine zipo idadi alizoliwa pasipo wewe kujua, na katika hizo idadi alizoliwa zipo zile chache kama moja au mbili alizokuzalia kajunior ka mwanaume mwingine...
It can't be

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.

Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:

1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.

Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.

Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hili bandiko lako Face book pazuri huko tunaongelea MOU 36 na Bandari kwanza.
 
Mosi, alitaka kujua taarifa za huyo mwalimu.

Pili, kusema mbona yeye alikukuta na sms mbovumbovu ni kama anataka kuhalalisha kile kilichotokea.

Tatu, kakataa kukupa ushirikiano kwenye suala la namba za mwalimu.

Kimsingi, japo mkeo bado hajapukuchuliwa, ila muonye.
Mkuu, muonye mkeo ukiwa macho makavuu ajue mstari mwekundu ulipo.

Ila tambua sisi wanaume kwenye kutongoza ni kama FREESTYLE tu, muda mwingi hatupo serious kiviiile, ila akiingia kwenye 18 unakula akikaza unapotezea.
 
Kuna siku 1 nilikuwa dukani kwangu, Kuna mdada m1 anaishigi nymba ya jirani na hapo dukani akanibip, nikampigia, n mdada ambaye ameonyesha kunipenda/kunitaman kimapenzi kwa muda mrefu sema nimekuwa nikimpiga kalenda Mara kwa Mara,,, ktk maongeza akasema inaonekana mke kanishika sana kiasi n Kama kashanitilia rimbwata,,, nikashtuka kiasi....
...baada ya Kama wk 1, ck 1 nikawa nimetoka dukani naenda dukani lililo mtaa wa pili,, karibu na dukani kwangu Kuna akina dada walikuwa wamekaa, n watu nliozoeana nao na n wateja wangu sana, m1 wao akaniita, nikamambia njoo wewe, mwenzake akasema usimuone hivo anamuogopa sana mke wake,,, nikaachana nap mi nikaendelea na safari yangu, nikaunganisha sentesi ya yule ktk simu, na huyu ambaye alikuwa na wenzake

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Daaaah mkuu kweli umevurugwa hadi unajiqoute. Pole ila Acha kumfuatilia mkeo. Hapo umeona katongozwa umepanic ungekuta amekucheat je?
 
Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.

Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:

1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.

Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.

Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu
Ulishamrudiaha kwao?

Hapo mnashare na mwalimu chungu kimoja
 
Walimu japo wanalipwa mishahara midogo lakini bado wanataka kudinya wake za watu kwa kujifanya wao wana pesa na nguvu za kiume.
Walimu wa nchi hii kwa umalaya wameshindikana kabisa.
 
Acha kumfatilia mkeo afadharu ushajua juwa jamaa kakataliwa wewe fanya mambo yako tu
Eti acha kumfuatilia mkeo, acheni ujinga huo nyie , mkeo sio bint wa kazi aisee, jua huyo ndio msiri wako wa ndani na mnashare mambo mengi sana ya siri na ya dani aibu ya mke wako ni ya kwako pia siwezi kuacha kufuatilia nyendo za mke wangu hata siku moja sababu yeye ni mke wangu janga lolote litakalo mpata yeye kwa namna yeyote linaniathiri hata mimi na huenda ikawa sio mimi tuu pengine hata familia kwa ujumla.

Hatari kwa mwanamke ni kubwa zaidi kuliko mwanaume kwa sababu ya utofauti wetu ki mamlaka na kimaumbile.
 
Back
Top Bottom