Naomba ushauri: Kuna mtu kamtongoza mke wangu

Naomba ushauri: Kuna mtu kamtongoza mke wangu

Kwa utoto huo mtongozaji yupo sahihi akutie akili. Watu wanagongewa vyumbani mwao nini kutongozewa
Kugongewa kunauma,ila hakujaanza na yeye

Mimi Kuna mwalimu mwenzangu mkewe alikuwa anagongwa na baba mwenye nyumba nyuma ya choo

Mwenye mke yupo ndani,mke wake na mwenye nyumba wameinamishana nyuma ya choo tena jioni mapema
 
Mkuu pevuka,achana na mambo ya kufuatilia na kushika simu ya mkeo,utapata kufa bure kabla ya muda wako,fanya mambo yako,uhakika ni kwamba mwanamke kutongizwa ni jambo la kawaida sana,kwa siku aweza tongozwa hata na wanaume kumi,it is normal, sasa wewe mke kutongozwa tu kichwa kinakuuma.

Binafsi sipendi kabisa kujua mambo ya mke wangu maana Nina maamuzi ambayo nikiamua huwa sirudi nyuma hata kidogo,sasa ili kuepusha hayo simu ya mke wangu hadi anipe yeye.

Kama vipi nipe namba ya mkeo nimkanye asirudie tena kufanya upuuzi huo
 
Mkuu pevuka,achana na mambo ya kufuatilia na kushika simu ya mkeo,utapata kufa bure kabla ya muda wako,fanya mambo yako,uhakika ni kwamba mwanamke kutongizwa ni jambo la kawaida sana,kwa siku aweza tongozwa hata na wanaume kumi,it is normal, sasa wewe mke kutongozwa tu kichwa kinakuuma.


Binafsi sipendi kabisa kujua mambo ya mke wangu maana Nina maamuzi ambayo nikiamua huwa sirudi nyuma hata kidogo,sasa ili kuepusha hayo simu ya mke wangu hadi anipe yeye.

Kama vipi nipe namba ya mkeo nimkanye asirudie tena kufanya upuuzi huo[emoji42

]🤛🤛🤛🤛🤛🤛
 
Ahahahah.
CHukulia kawaida tu mkuu.Pole lakin wala usiruhusu hiyo hali ikuendeshe.

Mwanamke pekee ni mama yako hawa wengine usiweke matumain kabisa kwao.

Usimuache wala usimzingatie wala usimchimbe..
Inauma sana hiyo.NAIJUA VIZURI SANA HIYO.YAN I MEAN NAIJUA sema ndio hivyo tu siwez kuandika uzi hapa.

Nishakutana na scenario kama hizo toka tukiwa boyfriend & girlfriend mpaka namuoa na sasa ni mke wangu mwaka wa 10 huu unaenda.

Kwa kifupi we muache tu.
CHa msingi umejua kwahiyo anza kuwa makini sasa usije letewa mtoto asiye wako na mbaya zaidi kupata magonjwa.

Naijua hiyo
 
Nakushauri kama mtu aliye kwenye ndoa!

1. Mwanamke yeyoye mwenye mvuto lazima atongozwe mara kwa mara. Ulimwengu wa sasa ndivyo ulivyo. Mwanamke asipotongozwa kama sio Muumini mzuri wa neno la MUNGU anaweza kwenda kwa waganga kwamba siku hizi hatongozwi.

2. Tofautisha kutongozwa na kukusaliti kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa. Mwache mkeo atongozwe ili ajione ana mvuto na awe comfortable hata kwako, yaani awe na ile hadhi ya kike.

3. Kama kwenye maisha yako huna utaratibu wa kukaa na simu yake au yeye kukaa na simu yako, endeleeeni tu na utaratibu huo huo. Mabadiliko ya gjafla kwenye uhuru wa simu zenu yanaleta shida. Ila mngekuwa na uhuru kwenye simu zenu bila mipaka, hii isingekuwa shida.

4. Kuonyesha kwamba humwamini mkeo, au mkeo kuonyesha hakuamini ni chanzo kikubwa cha migogoro kwenye ndoa. Kamwe usionyeshe humwamini mkeo. Isipokuwa mwambie kabisa awe anajua msimamo wako mapema kuhusu usaliti. Anatakiwa ajue akikusaliti nini kitatokea. Hii mada anatakiwa aijue mkiwa kwenye maongezi ya kawaida kabisa, na usisubiri umshuku ndio uiseme. Iweke clear mapema sana, na normally isisitize. Wengine huwa tunaisisitiza hii pale tunapotupia wazungu baada ya kuwasifia wake zetu kwa utamu wanaotupa wakati wa match, tena hapa huwa inawaingia kweli kweli.

Kila la kheri mkuu.

N.B. ukiwa na hizo perceptions mbovu mkeo akikaa dukani ndio itakuwa worse.
 
Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.

Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani...SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO... Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:
1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.

Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.

Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bro ushauri wangu , hapo" KUNA SHIDA HAPO

MAJADIRIANO YA NN KATI YA JAMAA NA MKE WAKO KAMA MKE ANGEKUWA NA MSIMAMO BAC HATA ZILE SMS ZA KUKATAA USINGEKUTA

ALARM SOOON "ANALIWAA"


TUKATAE TYU NDOA
 
Back
Top Bottom