Naomba ushauri: Kuna mtu kamtongoza mke wangu

Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.

Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:

1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.

Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.

Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Waume zetu mnavohangaika na umalaya mnahisi sisis wake zenu hatutongozwi??? Polen Sana tunatongozwa mpk na marafiki zenu nivile tunaheshim miili yetu na kuwapenda watt wetu!!!
 
Duh! Kuishi na mwanamke inakatisha sana tamaa hasa kwa sisi wanaume wenye BIG EGO, wanangu tuendelee kuzipiga mbususu, Maji ya shingo yakikufika umeshidwa kabisa ndio unaoa, Kukimbilia moto mapema ni ujinga mwingine huo.
 
Kuna watu wanaishi na machangudoa kwa msemo wa kuwa sikagui simu ya mke wangu.......yaani unayaweka rehani maisha yako kwa kujiweka karibu na maradhi kwa sababu ya kuishi na mwanamke malaya eti kuwa naogopa kushika simu yake......

Mimi nikimhisi mama watoto ana mambo yasiyoeleweka uchunguzi unaanza kwenye simu yake.....nikijiridhisha kuwa kuna viashiria vya usaliti basi natoa taraka.....

Afya yangu na ustawi wa maisha yangu ndio kipaumbele Cha kwanza kwenye maisha yangu......

Sijawahi kuacha moyo uniamulie hali ya kuwa nina akili timamu.......

Wanaume wenzangu acheni maisha ya uoga na udhaifu.....pekua simu ya mkeo kama ukikuta usaliti piga chini.......

Ni bora muwahudumie watoto mkiwa hai hata kama mkiwa mmetengana kuliko kulelewa kwenye vituo vya watoto yatima.........
Huwa nashangaa sana..yaani mwanaume mzima unaogopa kushika cm ya mkeo..eti nitapata presha...stupidy.

Shika cm kagua..ukikuta usaliti piga chini...it is over kwanini uwe na wasi wasi
 
Hutaki mkeo atongozwe mfungie kwa nyumba
Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.

Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:

1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.

Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.

Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.

Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:

1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.

Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.

Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tit for tat
 
Mkeo atagongwa na wale madaktari wa mazoezi Tiba.
Tena machalii wadogo kabisa
Unajua inakuaje wanamchua mgongo wake weee
Mwisho wa siku atakua anaudhuria mazoezi Kwa week mara mbili au tatu.
 
Mkuu punguza stress shule zimefungwa sasa hataliwa tena na ticha mbona nyie uko halmashauri mnatulia dada zetu sana tu au mkuki kwa nguruwe mtamu kwako mchungu iyo inaitwa karma

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mtumishi wa idara X, lakini pia ni mjasiriamali, hapo nyuma mke wangu alikuwa anashinda ktk duka letu dogo lakini kwa sababu za kiafya (anasumbuliwa na maumivu ya Mara kwa Mara ya mgongo) ili tulazimu apumzike nyumbani halafu hapa dukani nitafute mfanyakazi, na pia tuwe na binti wa kazi, huyu binti wa kazi pamoja na majukumu ya nyumbani lakini pia alikuwa anaenda kuuza barafu ktk shule iliyojirani ili tujipatie kipato zaidi, maisha yameendelea.

Katika nyumba ambayo kuna Hilo duka langu walihitaji kufanya marekebisho ya nyumba hivo ilitulazimu kusimama biashara Kama kwa miezi miwili hivi, takribani Kama mwezi 1.5 uliopita binti wa kazi alipata dharura akaenda kwao, na ndio ikawa 1 kwa 1. Hivo kwa vile wife alikuwa tu home basi mwanzoni alianza kwenda kuuza barafu mwenyewe ktk shule ile ya jirani. SHIDA NI KAMA ILIANZIA HAPO. Kwani Mara kadhaa nilisikia akiongea na mwalimu wa hiyo shule kumuuliza Kama wanafunzi wanaenda shule, Kuna wakati pia yule mwalimu alimwambia wife kuwa yeye awe anapeleka tu barafu halafu pesa anafata badae, nikamwambia wife hapana, Sasa juzi kutwa usiku mida ya saa 3 nimerudi home sa wife akasahau simu yake jikoni nikasema nimpelekee, akili ikanituka ktk sms, ktk inbox kukawa na sms za kawaida, ila ktk sent items kukawa na sms zifuatazo:

1. Haunitakii mema, unataka watoto wangu walelewe na mama wa kambo?
2. Hizo ni porojo kama porojo nyingine, ishi na mkeo nami niishi na mume wangu.
3. Haiwezekani kwani utaniharibia ndoa yangu.

Ghafla nikakutana na wife akanipokonya simu Ile kw maneno kuwa mbona nashika simu yake, nikamjibu kuwa mi nilikuwa nakuletea.. Nikaachana naye nikaenda kuoga, badae wakati narudi kulala nikamuhoji akasema ni kweli Kuna mwalimu alimtongoza lakini yeye wife akamkataa, na pia akasema kuwa Kuna siku alimpigia simu huyo dada wa kazi (Maria) kuhusu taarifa za yule mwalimu na akajibiwa kuwa n mtu ambaye Yuko ktk familia, nikajiuliza n kwa nn alimuuliza Maria kuhusu taarifa za yule mwalimu, lengo n kwamba afahamu nn kuhusu huyo mwalimu.

Katika maongezi akasema kuwa yeye wife hakumkubalia yule mwalimu na hata sms zinajieleza, nikahoji suala la kutokukuta inbox za yule mwalimu akasema kuwa simu yake n ndogo hivo hakuona umuhimu wa zile sms hivo akaamuwa kuzifuta, kesho yake asbh nikiwa kazini nikamtumia text kuwa anitumie namba ya simu ya yule mwalimu sa akachelewa kuituma ikabidi nimpigie, akasema kuwa hawezi kuituma kwani hataki matatizo zaidi yahusuyo suala Hilo, na akagoma, jioni nimerudi home nikamwambia tena suala la namba akasema kuwa ameshaifuta na hata sms hazipo Tena, nikakosa jibu. Leo asbh nilimwambia kuwa hataenda tena kuuza barafu ktk Ile shule, mchana Kaja dukani akawa anasema mbona n Mara nyingi tu alikuwa akinkuta mm na sms za wanawake wengine, sikutaka kulijibia hilo,... NIKO STRESSED NA SUALA HILI ninaomba ushauri marafiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
achana na mpango wa huyo mwalimu wewe mjali mkeo,huwezi kuzuia mkeo kutongozwa muhimu ni kumcare mkeo tu
 
Sms na kukataa kukupa namba, ni ushahidi tosha kuwa mwl akikaza atamkula tu
 
Back
Top Bottom