Si Kweli kila laptop brand ina laptop nzuri na mbaya.Hivi kumbe laptop za Lenovo hazina maana?
Mkuu kama hizo za kwenye picha ni thinkpad ina maana zina ubora?Si Kweli kila laptop brand ina laptop nzuri na mbaya.
Kuna laptop za bei rahisi na laptop kali kama vile ambavyo Samsung S series ni nzuri na A series za bei ya Chini basi laptop nazo zipo hivyo hivyo.
Lenovo Thinkpad zinaaminika Dunia nzima kama laptop nzuri za kiofisi, Lenovo ideapad ni za bei rahisi mostly ukinunua ina cheap build quality, Lenovo legion ni za gaming nzuri, yoga ni premium etc.
Ndio lakini hizo thinkpad nazo zipo mpya na za zamani, so angalia wewe unataka nini.Mkuu kama hizo za kwenye picha ni thinkpad ina maana zina ubora?
Mkuu kwa bajeti ya 300K, naweza kupata laptop gan nzur, kwa bajeti hiyo hiyo, Naweza kupata desktop gan nzuri??Ndio lakini hizo thinkpad nazo zipo mpya na za zamani, so angalia wewe unataka nini.
Mfano unataka i5 gen 8 basi unatafuta thinkpad yenye hio processor kama T480.
Mleta mada laptop yake imeandikwa i2 hakuna cpu hio, hivyo unapata mashaka, unaweza ukashikishwa celeron ama pentium ya miaka 10 ama 15 iliopita.
Laptop zenye ryzen 2500U unapata, kuanzia 280,000 nimewahi kuzionaMkuu kwa bajeti ya 300K, naweza kupata laptop gan nzur, kwa bajeti hiyo hiyo, Naweza kupata desktop gan nzuri??
Mfano mkuuKwa hio budget tafuta Machine ya Ryzen 5 3500U, utapata Gpu na cpu nzuri kwa hio hela na pia itakua na hardware za kisasa kama vile ssd za M2 na probably type C port.
😂😂😂wamekukosea wapi mkuuAchana na Lenovo, siyo laptop, ni circuit breaker.
😂😂😂wamekukosea wapi mkuu
Mkuu Chief-Mkwawa naomba ushauri wa vigezo vya laptop ya kununua ikiwa mimi niLaptop zenye ryzen 2500U unapata, kuanzia 280,000 nimewahi kuziona
Desktop Ryzen 2400G kuanzia 250,000
Alternative desktop nunua machine ya kawaida gen ya 4 i7 then nunua na gpu low profile kama Quadro K2200 ama P620.
Intel Gen ya 11 iwe basis yako ya kuchagua.Mkuu Chief-Mkwawa naomba ushauri wa vigezo vya laptop ya kununua ikiwa mimi ni
1.Heavy movie downloader na internet user
2.Natumia kwa office works pia.
Naomba pia kama inawezekana unitajie majina ya laptop mahsusi zenye hivyo vigezo.
Budget 600k -750k
Asante sana,nitazingatia ngoja niingie kutafutaIntel Gen ya 11 iwe basis yako ya kuchagua.
Brand za Laptop hazina maana sana hasa kwetu huku ambapo laptop za mtumba ni zile zilizotumika maofisini, Lenovo thinkpad, HP elitebook, dell latitude etc. Zote ni nzuri kwa durability ila hazina flagship features.
Cha muhimu ukipata Laptop idumbukize tu Google angalia review zake Notebookcheck kupata details zaidi.
Mfano wa laptop utayopata rahisi mtaani ni HP elitebook 840 G8
Review yake hii hapa
Advantage ya 11th gen inakaa sana na chaji, perfomance kubwa hivyo itakua future proof, graphic card nzuri kwenye Video transcoding etc