mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,757
- 6,290
Mkuu, umekataa kukariri kiarab usichokielewa....wazazi wako wanajuwa nia yako lakini?Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo muislam, bahat mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielew kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zaman nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.
Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipend kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumban na natumia maji ya baraka wakat mwingi nahis kabisa yananisaidia, halaf nikiwa kanisani nina aman zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubir ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumban redio nasikiliza redio maria tu na naifurahia.
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Makasiriko hayana nafasi hapaYou are just a Scammer.
Wewe ni mkristo pure, tena mgonga kengele kanisani.
Acha ulaghai, kwa jifanya eti..... Blah .. blah.. blah.
Dini zinyewe za kuja tu...
Amini chochote tu... Acha ulaghai.
Ila
Hakuna moto wala pepo.
Hlaf tunajisahaulishaga sana kama pale maka kuna jiwe jeusi na ndiyo kibla chetuWe una amini jiwe ni kiumbe hai?
Amen!Kwenye Biblia Yona aliitwa na Mungu akaokoe watu wa Ninawi lakini hakutaka kufuata sauti ya Mungu badala yake akapanda Meli kwenda Tarshishi ili asitii agizo lq Mungu lakini meli aliyopanda ilipata mawimbi sana hadi alipojitokeza akajisalimisha walivyomtupa baharini meli ikatulia na akamezwa na samaki akakaa kwa siku 3 tumboni kwa samaki akisali hadi samaki akamtapika kwenye ufukwe wa mji ule ule aliokua hautaki.....akafanya kazi aliyotumwa na kusudi la Mungu kikatimia.
Nimejikuta na relate habari yako na kisa cha Yona, inawezekana msukumo ulionao ni Mungu ameweka ndani yako ili akutumie kwa jambo fulani kudhihirisha ukuu wake, Inawezekana Mungu anataka akakutumie maisha yako yawe ushuhuda kwa wengine. Kuna maneno yanasema "God does not call the qualified but he qualifies the called " ....Mimi nakuombea kusudi la Mungu litimie kwako na akutumie vile anavyotaka.
Natamani sana sana uje utupe ushuhuda siku moja Empress_sheila
Maneno yako yananiingia@Empress_sheila just so you know safari yako haitakua rahisi hata kidogo , as you can see comments nyingi za lawama, vitisho na kejeli lakini sauti ya Mungu ni kubwa kuliko yote hayo.
Hata Daudi alipingwa mnoooo na kaka zake hadi wakamuuza nchi ya mbali na wakadanganya wazazi kwamba amekufa ila bado haikuzima kusudi la.Mungu juu yake.........
Kama unapenda movie angalia God Calling (netflix) nigerian movie nzuri sana
Umeeleweka lakini mkuu ndiyo maana kuna ushauriDini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu, na Mungu huyo anaetafutwa hapatikani pasipo kuwa na Imani. Na ukumbuke Imani ilikuwepo hata kabla Dini hazijatufikia huku Africa,
Unaweza umiza kichwa kufikiria kuhusu Dini lakini ujue wazi kuwa ndani ya dini pia kuna madhehebu ambayo kwa namna moja au nyingine yanapingana yenyewe kwa yenyewe ingawa yapo kwenye dini moja.
Hivyo utajikuta upo kwenye kibarua kingine cha kuuliza dhehebu lipi ni sahihi. (Wala huwezi kupata jibu)
Nachotaka kusema ni kuwa jambo kuu na lililo kubwa la kulizingatia ni Imani wala sio Dini.
Chagua pale roho yako inapenda then endelea kuijenga imani yako kupitia hapo
Ukitaka watu wakuambie nini ufanye utaishi maisha ya kinafiki kuwafurahisha watu huku wewe hauna amani ya moyo hata chembe.
Sijui kama nimeeleweka
Mungu wa mbinguni anakupenda sana. Kwanza ulibahatika Hukulawitiwa huko Madrassa ukiwa mdogo.Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo muislam, bahat mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielew kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zaman nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.
Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipend kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumban na natumia maji ya baraka wakat mwingi nahis kabisa yananisaidia, halaf nikiwa kanisani nina aman zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubir ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumban redio nasikiliza redio maria tu na naifurahia.
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Haki ya kulawiti watoto huko Madrassa?Tafuta hela hayo mapepo ya umaskin dini ya haki Ni uislam tu
AMEN.Ukibadili dini ukawa mkristo utakuwa umechagua njia ya kweli na uzima.
YESU akuongoze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732],Eti Dini ya haki ni Uislamu tu, ngoja nicheke tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Tafuta hela hayo mapepo ya umaskin dini ya haki Ni uislam tu
Mwache mdada wa watu ajipatie mbingu.Kwenye Uislamu si hakuna mbingu bali kuna pepo tu ambako yanaishi mapepo??!!.Kwanza nakupa pole sana,umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani,naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.
Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea,angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
AMINAUpo sahihi kabisa ndugu na tena Mungu anataka umjue kupitia Yesu Kristo, endelea kuwa mkristo tena shika imani yako vizuri kabisa nawe utakuwa na amani tele na kuupata ufalme wa mbinguni mwishowe. Ubarikiwe!
AminaUkibadili dini ukawa mkristo utakuwa umechagua njia ya kweli na uzima.
YESU akuongoze
Mleta mada,amekutendea kosa gani hadi ukawa na hasira nae??.Samahani bwani,ninahasira kweli na huyu mleta maada,
Kwamba unataka ukamkate shingo dada yetu kisa Dini?.Halafu bado mnakuja kutudanganya kuwa Uislamu ni dini ya haki.You feel guilty about what you did…apo wewe mwenyewe hujielewi unafikiri Nani atakae kuelewa.
Unajua hukmu ya murtad..!!
Ndugu Yanga kwanza mshukuru Mungu kwa neema uliyoipata ya kujikuta unaenda kanisani. Yesu Kristo ndio njia na kweli na si vinginevyo. Wapo watakaokushauri kwa masihara na mizaha lakini mimi nakuambia ulichokichagua ni sahihi sana na usirudi nyuma. Songa mbele endelea kumtafta Yesu kupitia Biblia na mahubiri.Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo muislam, bahat mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielew kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zaman nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.
Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipend kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumban na natumia maji ya baraka wakat mwingi nahis kabisa yananisaidia, halaf nikiwa kanisani nina aman zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubir ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumban redio nasikiliza redio maria tu na naifurahia.
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Mwache ajifunze zaidi Ukristo ili aive ktk Ukristo.Ukifuatilia historia yako...
Umezaliwa kwenye Familia ya Kiislam na kupata ile basic knowledge ya kusoma ( kama Nursery) ambapo kule ni mambo basic na pale ambapo ungetakiwa Usome Quran na kuelewa kilicho andikwa na kilichokusudiwa namaanishwa kuanzia umri wa miaka 13 hivi (ukiwa matured) ukawa umeenda kwenye Shule ya Kikatoliki
Ulipo kwenda sekondary ya wakatoliki, hapo ndio uliweza kupata Mafundisho ya Dini (Kikatoliki) ambapo ukawa ndio mwanzo wako wa kupata mafundisho ya Dini kwa undani na kuelewa kwani pale umekua (matured). Nimeandika hivyo ili ujue kuwa, hakuna kitu cha ajabu sana hapo.
Kwa mtu mwenye hekima nilitegemea uulize kuwa; nimepata mafundisho ya kikatoliki shuleni na natamani Kusoma Elimu ya Kiislam tofauti na ile ya Chekechea ya Kufundishwa/ku kremu kusoma na kuandika; namaanisha mwanafunzi wa Chekechea hawezi kujisifia eti na yeye ameelimika kisa tu amejua kusoma na kuandika
Kwa kufanya hivyo ungeweza kusoma indetail sio ile ya kukremu hata mimi nilisoma hiyo pia ila baadae nikajiona nilipata pengine kama 6% ya nilichotakiwa kujua; baada ya hapo ungeweza kufanya uamuzi sahihi
KWA ELIMU YAKO YA UISLAM LEVO YA CHEKECHEA USIJIWEKE KWENYE KUNDI LA WATU WANAOJUA UISLAM; SOMA!
Maisha ni Yako na mamaumuzi ya mwisho ni yako pia ila hilo halimaanishi usishaurike,Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo muislam, bahat mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielew kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zaman nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.
Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipend kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumban na natumia maji ya baraka wakat mwingi nahis kabisa yananisaidia, halaf nikiwa kanisani nina aman zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubir ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumban redio nasikiliza redio maria tu na naifurahia.
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Hata mie nimeshangaa!Mleta mada,amekutendea kosa gani hadi ukawa na hasira nae??.