Gmailandyahoo
Member
- Aug 28, 2021
- 7
- 3
Maneno yako unasema huko uliko umetulia na una amani, sasa kwa nini unachanganyikiwa? Moyo wako haujatulia bado, tafuta ambapo moyo utatulia kama kweli unahitaji utulivu endelea kuutafuta, uwe mkweli wa nafsi yako. Huna sababu ya kuchanganyikiwa ikiwa umeusoma kweli usilam na umeusoma ukristo! Mchanganyiko wako unaonesha huna knowledge ya kutosha na sahihi ya dini hizo!Nachanganyikiwa mie hata nikiomba sielewi kama maombi yangu yanabaraka
Allah mwanzoa anataja mwenyezi Mungu kwa Nini hajitaji mwenyewe anae ongea hapo ni nani?
Huyu ni Allah alafu anasema kwa jina la mwenyeezi Mungu ππππππ
Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.
Vinamsabihi Mwenyezi Mungu vilivyo katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye
Unahitaji uwe na knowledge ya kuifahamu qur an hasa ikiwa unataka kupingana nayo Wapingaji wakubwa wa qur an wala hawataji hoja hizo kwa sababu si hoja kwa wasomi. Wachilia knowledge ya qur an hata kama una knowledge ya lugha tu basi hoja hizi hazifai hata kwa kiwango cha chini! Inaonesha unasoma tafsiri za aya juu juu!Allah mwanzoa anataja mwenyezi Mungu kwa Nini hajitaji mwenyewe anae ongea hapo ni nani?
Huyu ni Allah alafu anasema kwa jina la mwenyeezi Mungu ππππππ
Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.
Vinamsabihi Mwenyezi Mungu vilivyo katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Ungejibu huyu nani anasema Aya manenoUnahitaji uwe na knowledge ya kuifahamu qur an hasa ikiwa unataka kupingana nayo Wapingaji wakubwa wa qur an wala hawataji hoja hizo kwa sababu si hoja kwa wasomi. Wachilia knowledge ya qur an hata kama una knowledge ya lugha tu basi hoja hizi hazifai hata kwa kiwango cha chini! Inaonesha unasoma tafsiri za aya juu juu!
Kama unataka kujua tafuta, soma, jifunze, hilo ni jambo jepesi ukisearch utapata maelezo ya kutosha!Ungejibu huyu nani anasema Aya maneno
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu."
Mbona nilikujibu au unapenda ubishi?Ungejibu huyu nani anasema Aya maneno
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu."
Namkubali sana huyu mwamba, namkubali kinyama. The king of Salemπππͺhuyu kiumbe naye utasema yeye ni zaidi ya huyo Yesu ??
Melchizedek
For this Melchizedek, king of Salem, priest of the Most High God, who met Abraham returning from the slaughter of the king s and blessed him, to whom also Abraham gave a tenth part of all, first being translated βking of righteousness,β and then also king of Salem, meaning βking of peace,β without father, without mother, without genealogy, having neither beginning of days nor end of life, but made like the Son of God, remains a priest continually (7:1β3).
Ndiye Mungu wako mwengine huyo? Maana hana mwanzo hana mwisho wala ukoo.Namkubali sana huyu mwamba, namkubali kinyama. The king of Salemπππͺ
Maneno hayo yameandikwa with respect to earth life, with respect to us humans . Ukienda spiritual realm muda hauna maana unaanza kukutana na vitu vya milele, na vya milele na milele.
Sijui utachukuliaje nikikuuliza hili swali, je utachukulia nimeamua kutupia misamiati ili kupoteza au sijui utachukuliaje?Ndiye Mungu wako mwengine huyo? Maana hana mwanzo hana mwisho wala ukoo
Sijui utachukuliaje nikikuuliza hili swali, je utachukulia nimeamua kutupia misamiati ili kupoteza au sijui utachukuliaje?
Je unaifahamu elimu ya relativity? unafahamu 'with respect to' inamaanishaga nn? Inamaanisha kulingana na muktadha fulani, kulingana na watu fulani etc
Kingine unafahamu kama wewe ni mungu 'with respect to' wewe na seli zako? Seli zako zikiongea zitasema huyu mtu hana mwanzo wala mwisho, sisi tunakufa ila yeye yupo milele. Zikijua kuna Yesu zitasema huyu mtu ndio mwanzo na mwisho wetu ila kuna Yesu yeye ni milele na milele. Zikijua kuna Mungu zitasemaje milele square? [Kikwao haina utofauti kiperception] Zikijua kuna watu wengine zitasema hawana mwanzo wala mwisho haimaanishi kwamba na wao hao watu ni mungu wao hapana! Wewe ndio utabaki kuwa mungu wao with respect to your cells. Na hao labda seli zitasema ni wasaidizi wa mungu wetu, au rafiki zake lakini woooote ni Wana wa Mungu mmoja wenye kazi na majukumu tofautitofauti.
Ntasema Melchizedek ni kiumbe wa Mungu mwenye majukumu fulani, huoni aliumbwa na Mungu lakini tumeandika hana mwanzo wala mwisho? ...... mwanzo na mwisho with respect to sisi watu. Relativity. Na hata hivyo sio sahihi mojakwa moja maana mambo ya time yapo sananana kwenye hizi physical beings zaidi. We huoni ndotoni unaweza kuishi hata miaka ishirini katika masaa matatu ya ndoto?
Wewe una vision yako ya mambo yalivyo mi yangu imekaa hivi Uhalali wa wazo la Mungu kibaiolojia, analojia
Sina ubia na huko mieNini maana ya shehe majini? Au nyie ndiyo mnaotapeliwa na wale Waisilam wajanjawajanja wa kuandika tarasimu
Hizo hadithi Mungu alishuka akaja kuzifundisha? Ila za huko tumelishwa matango pori, duu ajabu na kweli wakati huku mmekuta kitabu kimesomwa mpaka !,kuwa na adabu,hayo ninayokwambia ndiyo mafundisho ya na hadithi za Mwenyezi Mungu,lakini mmedanganywa mkalishwa matango pori mkafundishwa vitu ambavyo Mwenyezi Mungu hakutufundisha
Ndugu yangu je unawaamini Mwenyezi Mungu na mitume ,mfano Daudi na zaburi,Musa na Torati,Yesu na Enjili na Mtume Muhamad (S.A.W)na Quruani? Ukishawaamini hao na kufuata mafundisho yao huwezi kuwa na Mapungufu au kadanganywa na Kiumbe yeyeote hapa DunianiHizo hadithi Mungu alishuka akaja kuzifundisha? Ila za huko tumelishwa matango pori, duu ajabu na kweli wakati huku mmekuta kitabu kimesomwa mpaka !
π€¦ββοΈππ.Tumekusikia , Sasa weka andiko la hayo maneno yako , uliyapata wapi ?
π€¦ββοΈππ.
Hivi wewe unapoisoma dini unaisharabu na kuifanya kuwa wewe au unaiacha ibaki peke yake na wewe ubaki kuiamini?
Huo ni muunganiko wa elimu na maarifa niliyoipata hadi hivi sasa, jumlisha yote dini hadi sayansi, uchawi hadi uabudu ndo nikapata hiko. Nishakwambia mimi sio mtu wa kufungwa na vifungu [πau ndo maana vikaitwa vifungu nnπ€?]. Dini yangu naiishi kamili siishii kuisoma na kukariri, na maneno matakatifu, maneno ya Mungu kwangu ni chochote chenye UKWELI. Naamini nilichokisema hakipingani na maandiko.
Ngoja ni misquote ROBERT HERIEL aliwahi kusemaa;
Hakuna cha nadharia wala imeandikwa wapi hapa, maarifa binafsi inatosha..... and back to me, I only appeal to sense
Nisaidie kitu kimoja kati ya nilivyoongea kinachoonekana kitakuwa kimetoka kwa shetani?Sawasawa ,lakini umesema chochote chenye Ukweli ni maneno ya Mungu , au vipi
Ndio maana tunawajibika kuchunguza Kama kweli ni maneno ya Mungu au siyo ?
Na ndiyo maana hayo maneno yako nikahitaji ushahidi wa wapi ulikoyapata
Nisaidie kitu kimoja kati ya nilivyoongea kinachoonekana kitakuwa kimetoka kwa shetani?
Kama tu kunisaidia nijitambue zaidi.......... kimoja au hata viwili fanya uniokoe na uwongo. Viseme tuvipime.
Exactly! And why is that a bad thing?Kitoke au kisitoke ni swali jengine.
Hata yeyote aweza kuandika kitu anasema ni maneno ya Mungu
Exactly! And why is that a bad thing?
Daktari akikwambia 'vaa barakoa, nawa mikono, fanya mazoezi' unadhani hayo ni maneno ya nani?
Ngoja nikufundishe namna ya kupima maneno ya Mungu vs maneno ya anayedhaniwa kuwa ni shetani: Ukikutana na kitu kimesemwa au kimeandikwa na hicho kitu kikawa kizuri kwa afya yako, familia, afya ya wengine, afya ya jamii, taifa dunia na ulimwengu kwa ujumla --neno la upande wa Mungu.
.....Naa ukikuta neno limeandikwa au limesemwa likawa baya kwako, baya kwa afya yako na ya wenzako, baya kwa jamii taifa, dunia na ulimwengu kwa ujumla -- neno la upande wa shetani
Source doesn't matter. Pale mtu anapokuwa na hamu ya kuutafuta ukweli hujikuta aki'resonate'/akiitikia na kukubaliana na ukweli toka katika source mbalimbali.Kuna biblia tofauti nyingi Na kila mmoja anasema ni maneno ya Mungu sasa wewe kama ni mkristo utafuata biblia yoyote tu bila kuchunguza source ?