Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,679
- 4,417
Tofauti yetu na wanyama ni vile tunavyotumia akili zetu, wanyama wataitikia kutokana na kilichopo kwenye mazingira. Binadamu pamoja na kuitikia anaweza pia kutunga na kuimagine na kuunganisha dots.Hayo ni maneno yako tunataka maneno ya Biblia , kila mtu anaweza kuwaza vyake na kujiita atakavyo kwa namna akili yake inavyompeleka.
Tofauti yetu na wanyama ni vile tunavyotumia akili zetu, wanyama wataitikia kutokana na kilichopo kwenye mazingira. Binadamu pamoja na kuitikia anaweza pia kutunga na kuimagine na kuunganisha dots.
Ninavyokuletea vya kwenye asili ione kama ni muendelezo wa libiblia/limusahafu likuuuuuubwa tu na hilo jani ni moja kati ya sura/aya zake🤭
Hujaamini akili yako, na hujaamini akili za watu wengine ndio maana umewaza tutakuwa wendawazimu. Mi nawaamini, najiamini na namuaminiHayo ni maneno yako , Na kila mtu ana fikra zake, ikiwa zitafuatwa fikra Za kila mtu tutakuwa wenda wazimu
Weka ushahidi mkuuWasiokuwa waisilamu hawatakwenda mbingu,huo ndiyo ukweli mchungu
Hujaamini akili yako, na hujaamini akili za watu wengine ndio maana umewaza tutakuwa wendawazimu. Mi nawaamini, najiamini na namuamini
Kimsingi kama wote tutajiwekeza kuwaza kinamna inayoheshimu ukweli halisi tutaendelea sana kiakili, maana kila mmoja atapokea mchango chanya kutoka kwa mwenzake
Weka ushahidi mkuuTafsiri
Tafsiri ya Neno Uisilamu ni kunyenyekea au kujikabizisha kwa Mwenyezi Mungu,kwa hiyo Mitume wote na Manabii walijikabidhisha kwa mwenyezi Mungu,na Uisilamu unamuamini Mungu Mmoja ambaye hana mshirika wala msaidizi,kila unachoomba na kutubu inabidi Umuombe yeye, sasa jiulize wewe uko wapi hapo?Weka ushahidi mkuu
Ndio nikasema uweke ushahidi wa unachokisema. Wewe hukuzaliwa ukawa unajua kila kitu , lazima ulienda shule ulifundishwa kusoma Na ulisoma vitabu tofauti.
View attachment 2233196
Na vitabu vya dini mbalimbali, ila nikiri asili yangu sio kukariri vifungu. Na hapa najaribu kutoa insight ili wenye vifungu kichwani mjaribu kuweka sawa[reconsile] mnayoyafahamu tayari.
Haya si maneno ya Yesu, unatakiwa ututhibitishie Timotheo ameyapata wapi maneno haya. Kwahiyo sisi tunataka maelezo yenye kunasibishwa moja kwa Yesu.1Timothy 3:16 And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen of angels,.........
Mosi, kusema kwake Yesu ni wa uzao wa Daudi, huyo ni mwanadamu tayari, ndiyo maana Yesu kila jambo analirudisha kwa aliye mtuma. Ingekuwa hivyo angekuwa anasema yeye moja kwa moja.Ulitaka hiyo flesh itoke kwenye uzao wa wapi?
nimekwambia unaposoma ukristo ukiweka nature ya mungu wako huwezi elewa Jehovah ni Roho hiyo ndio nature yake , Allah nature yake ni physical being creature hana uwezo wa ku manifest in flesh
God manifest in the flesh
Naona unabadili utaratibu maswali ninayo kuuliza unatakiwa uyajibu.Koran Kuna sehemu Muhammad alikuwa anakumbuka Kuweka neno sema sehemu zingine anasahau, Allah kama yeye ni Mungu hawezi kuongea kwa staili ya ku refer alafu unasema ni fasihi , fasihi gani ya kujisahau ,
Kuna shida kubwa aliendika Koran alizingua kwenye kuandika Allah anashindwajwe kusema Mimi kama Yesu alivyosema?
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Yesu anajitaja mwenyewe ndie Mwanzo na Mwisho
Rev 22:12. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
Hili nimeshalielezea zaidi ya mara moja. Nataka ukiri inakuwaje maandiko yenu yana jipinga namna hii ?Tunajadili hili
Na utuambie huyu Yeye anaetajwa na Allah ni nani
Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Yesu anajitaja mwenyewe ndie Mwanzo na Mwisho
Rev 22:12. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
Hili nimeshalielezea kiukamilifu.😂😂😂😂 Ilichukua muda Sana kusoma na kugundua Allah ametaja Kuna Mungu na sifa zake kaziweka wazi , na hakuna ata sehemu moja kajiita Mimi ,Allah ana refer kwa Mungu
Yesu kajiita Mimi mwanzo na mwisho, Mimi mwanga wa ulimwengu, Mimi mflame wa haki, Mimi kweli na uhai, Mimi hakuna kilichoumbwa bila Mimi, Mimi nafuta dhambi, Mimi nitahukumu siku ya mwisho
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...
Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Hapana niligoogle. Oookay ngoja nirudie kufanya hivyo[nigoogle] ila nyingine ntaangalizia humuhumu kwa majibishano ya Kisai na MokitiKwani hiyo picha uliikariri?
Hapana niligoogle. Oookay ngoja nirudie kufanya hivyo[nigoogle] ila nyingine ntaangalizia humuhumu kwa majibishano ya Kisai na Mokiti
0.
Yn 1:18 SUV
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua
Huku kutufunulia sisi ni kutuonesha baadhi ya sifa kuu za Mungu ambazo ni Upendo, Rehema, Ukweli, Uhai etc
0b"Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu. Mimi ni mzabibu, ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana, maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lolote, mtu asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi na kunyauka, watu huyakusanya na kuyatupa motoni yakateketea, ninyi mkikaa ndani yangu,na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa. Yn 15:4-7
0c
Yn 14:20 SUV
Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.
0d
Neither the Quran nor the Hadith tell us why it’s Isa who will judge, yet the Quran says that Isa Al-Masih will be the sign of the judgment. “And (Jesus ) shall be a Sign (for the coming of) the Hour (of Judgment)…” (Qs 43:61).
However, the Bible says clearly that God gave the authority to judge to Isa “…the Father [God] judges no one. Instead, he has given the Son [Kalimat Allah, Isa Al-Masih] absolute authority to judge” (Injil, John 5:22). Why? “. . . that all may honor the Son, just as they honor the Father. Whoever does not honor the Son does not honor the Father who sent him” (Injil, John 5:24).
1.
"Allah Anatutajia tena sifa nyingine ya Mungu
Allah anasema kuna Mungu ambae Yeye ni mwanzo na mwisho
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Yesu anajitaja mwenyewe ndie Mwanzo na Mwisho
Rev 22:12. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.” . Sasa ili kuelewa ni kwa nini sifa zinafanana kimuonekano ndiyo ni sababu ipo kama hivyo kwenye jani.
2
Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai. Mtu haji kwa Baba ila kupitia kwangu.
Kivipi? - Angalia jani
3.
Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kivipi - angalia jani kupata picha
YesuHizo Aya zako zote ulizonukuu kutoka Injili ya Yohana ,
Ni Nani anayetamka maneno hayo ?
Yesu
Jibu kirahisi usiweke maelezo kama mashairiHili nimeshalielezea zaidi ya mara moja. Nataka ukiri inakuwaje maandiko yenu yana jipinga namna hii ?
Hapa kuna mawili, aidha si maneno ya Mola sababu maneno ya Mola na mitume wake hayajipingi au huyo muandishi amezua.
Maneno katamka Yesu au uoni 😂😂😂Hizo Aya zako zote ulizonukuu kutoka Injili ya Yohana ,
Ni Nani anayetamka maneno hayo ?
M
ka Yesu au uoni 😂😂😂
Unapokuja na videos za watu kuugeukia uislam uje na za wanaougekia Ukristo pia ili ubalance kotekote. Najua huwezi kwasababu uko biased na pedophilia wenu.Hayo ni maneno yako tunataka maneno ya Biblia , kila mtu anaweza kuwaza vyake na kujiita atakavyo kwa namna akili yake inavyompeleka.
Le