Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,679
- 4,417
Najitahidi kuelewa, nadhani nimeelewa kuwa tutumie maneno yenye hikma ya Mungu haijalishi yanatokea kitabu gani.Unaelewa nini pale nguzo ya Imani ya Dini yetu ya Kiislamu inapotaka kuviamini vitabu vya Mwenyezi Mungu?.
Pili mimi ntamuelewesha asiye Muislamu kwa njia atakayo ielewa kwa wepesi kwa kutumia mifano na njia alizo zoea.
Ningekuwa najadiliana na Muislamu mwenzangu,basi nisingetumia Injili bali ningetumia Qur'an,hadithi na sunna za mtume.
Nafikiri umenielewa.
Tumiaa mfano wa mwana mpotevu huo utakuonesha jinsi ufalme wa mbingu ulivyo. Katika masuala ya umiliki.Usikimbie hoja.
Hebu ingizia huo mfano wako wa gari linalomilikiwa na familia na hizo sifa zake, katika kufafanua utatu uone unavyojichanganya.
Nisaidie tafsiri ya maneno haya-Msonjo na KING KIGODA kuna mambo mengi tu ambayo hayawapaswi watoto. Lakini ukishakuwa mtu mzima unapaswa kuyaelewa. Acha watoto wadogo wapewe maziwa sisi tule hadi makande.
Mnaweza kuona hata wenyewe, ukweli wake pale ambapo kila maagizo yanapotoka kwa Mwenyezi Mungu yanakuja kwa wingi. Kwa nini msipinge hili?
Ndo maana nikasema tusimuweke Mungu kama 'concrete' being tumuache hivyohivyo kama Roho ama wazo 'abstract' being
Unajua katika mawazo hakunaga utofauti kama ni lengo moja? Nitatoa mfano.
Kama lengo ni kujenga bomu. Chochote kitakachowazwa kuhusiana na uelekeo wa kujenga bomu kinaangukia kwenye wazo lilelile moja. Ni wazo moja. Ila kikitokea kingine kikawazwa kikawa cha kubomoa huo mpango wa bomu ndio kitaitwa wazo tofauti wazo la pili. Ndio tutapata mawazo mawili 1. kujenga bomu 2. kuharibu/kutojenga bomu
Sawa.Achana na huo mfano wangu wa gari
Mkuu!Jibu langu lipo wazi sana,mimi nimekujibu kuwa sifahamu juu ya jiwe kuwa kiumbe hai au kiumbe mfu kwa sababu mimi sina elimu ya mawe!.Naomba utambuzi wako katika dhana isiyo egemea kwenye imani
Jiwe ni koumbe hai au siyo?
Hapa nadhani utafurahi kusikia mkristu anatamka hivi.Nisaidie tafsiri ya maneno haya-
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu
Poleee..Mmhhh
Kijana kuna vitu unaandika mpaka unanipa uzito kukujibu. Hakuna uhalisia katika "Infinity" kwa ufupi "Infinity" hai exist.Sawa nakubali havifanani vyote kama vyote. Havifanani. Ninakubali kimaterial kuwa 'Mwana hawezi kuwa sawa na baba au mama aliye mzaa' Ila kimalengo, kiabstract, kiroho, kilogic hilo lipo.
Na utofauti wake upo hivi tukiuangalia sisi tulio wadooogo sana. Ni kwamba kutokana na udogo wetu sisi tunamuona Mwana kama 'infinity' kwetu. Ila tena tukijaribu kumuimagine Baba basi tutasema yeye anakuwa 'infinity plus one' au hata 'infinity plus hundred' au potelea pote labda ni 'infinity plus infinity' au ngoja tuvuruge labda baba ni 'infinity plus infinity, infinitely'
Sasa kwa kuwa sisi ni wadogo, finite beings: infinity ya aina yoyote na ukubwa wowote makes no difference in our perception of infinity. Ndo maana unaona kama tunajichanganya. Subset kwetu ni infinity [kikwetu] japo tunatambua kuwa imo ndani ya universal set ambayo ni infinity infinity
Njoo atheism huku hakuna viingilio vyenye kupewa majina kupunguza ukali kama sadaka au swadaka
Vizuri madam kama umeelewa.Umeeleweka lakini mkuu ndiyo maana kuna ushauri
Ausiooo...!!! ogopaa sanaa mtu mpumbavu alieshikilia dini...Tafuta hela hayo mapepo ya umaskin dini ya haki Ni uislam tu
Mashehee kulawitiii hilo naloo limekaaje..Mbona hizi nyuzi za kunanga uislam zimeibuka ghafla sana hapa Jukwaani ndani ya hii wiki?Kwani kuna ajenda gani?
Mara waislam milioni kumi wanakuwa wakristo kila mwaka,Mara ushauri kuhusu dini na nyingine nyingi kama hizo.
Nadhani kuna haja ya moderators kuwa makini katika kipindi hiki. Nadhani kuna project baadhi ya members wanataka kuifanya.
Kumbe Allah ndie anapotosha nafsi 😂😂Mbali zaidi aya za mwenyezi Mungu zinatuonesha pia kumuomba Allah asizipotoshe nafsi zetu baada ya kuamini.
Ni Mungu yupi Alie zaa?Hazimuabudu Mungu mmoja. Mungu wetu waislam hajazaa na wala hana mtoto
Typing error nimesharekebisha. Tunamuomba asiziache nafsi zetu kupotea baada ya kuaminiKumbe Allah ndie anapotosha nafsi 😂😂