mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,476
- 14,526
Unatafuta namba za simu za wataalamu watatu unawaelezea shida yako kisha wakuelezee chanzo cha tatizo.Unagunduaje chanzo Cha tatizo Mana mambo aliyosema mleta uzi nami yananikabili ivyo ivyo. Na wasi wasi kama Kuna uchawi au ancestral energy
Kweli kabisaMwafrika uroga Ili afurahishe nafsi yake Mzungu anaroga Ili apate atakacho
Kuna kurongwa na kujiroga yote yanawezekana ila muhimu ni mbinu ya kujua kwamba umerogwa au umejirogaushauri wa kitaalamu hii hapaaa
1. usimwambie mtu yeyote jambo lako, hadi ulifanye, hataa demu wako piaa usimwambie keep your secret (Mungu anakupa wazo bila ya mtoto yoyote kujuaa, wewe unaendaa kuwaambiaa hao watu, basi Kwa hali hilo jambo nguvu yake itaishaa, next utaanza kusemaa unaligwaa, hapana unajilogaa
2. time, time, time ( things take time, usitake mafanikio ya haraka haraka)
bye bye bye
Good ideaUnatafuta namba za simu za wataalamu watatu unawaelezea shida yako kisha wakuelezee chanzo cha tatizo.
Kila mmoja akishatoa majibu unalinganisha kama yanafanana.
Mwanzoni ukianza kuongea nao wakikwambia njoo tuongelee ofisini usikubali watakupiga pesa waambie umesafiri kisha mchat tu.
Gharama zao baadhi ni bure wengine watakwambia uchangie elfu 5 au elfu 10 tu.
Si hata maliwatoni fresh kukogeaUnaloweka kwenye ndoo yenye maji,unaufikicha kama unafua nguo maji yakibadilika rangi na kuwa kijani unaenda kuyaoga.
Pia kuna nyasi fulani nyembamba jina silijui huwa zinasambaa porini kama senyenge/wavu pia hutumika sawa na hii kivumbasi.
Ukishindwa hivi vyote tumia chumvi ya mawe changanya kwenye maji ikiyeyuka kaoge rudia kwa siku 7 asubuhi na jioni.
yes popote tu unaoga,Kabla ya kuanza kujimwagia unanuia yale unayotaka yafanyike au yatokee halafu unaoga.Si hata maliwatoni fresh kukogea
Jah bless youyes popote tu unaoga,Kabla ya kuanza kujimwagia unanuia yale unayotaka yafanyike au yatokee halafu unaoga.
Kufanya jambo bila kumwambia mtu sometimes ni ngumu. Mfano nataka kununua gari ya biashara,,,lazma tu ntawafata wazoefu na kuwaambia ili wanishauri gar nzur ya kununua,inayodumu,ambayo spea znapatkana kirahsi n.k. Ni ngumu sana kutekeleza kila jambo kmya kmya.ushauri wa kitaalamu hii hapaaa
1. usimwambie mtu yeyote jambo lako, hadi ulifanye, hataa demu wako piaa usimwambie keep your secret (Mungu anakupa wazo bila ya mtoto yoyote kujuaa, wewe unaendaa kuwaambiaa hao watu, basi Kwa hali hilo jambo nguvu yake itaishaa, next utaanza kusemaa unaligwaa, hapana unajilogaa
2. time, time, time ( things take time, usitake mafanikio ya haraka haraka)
bye bye bye
Mfano wa kunuia;Jah bless you
asante mkuu. well saidPamoja na hayo lakini maisha siyo kurelax, maisha ni vita kila siku, unapopitia huko unajifunza kuwa mgumu siku za mbeleni kwa sababu hakika hakuna atakayekuja kukuambia fanya hivi ama vile, Wewe mwenyewe ndio dereva wa maisha yako, hivyo usimpe mtu mwingine akuendeshee maisha yako. Unayo nafasi ya kuchagua, Muweke Mungu kila hatua unayopiga, hata kama umepoteza hio pia ni hatua maana wakati mwingine hutarudia kosa kama ulilowahi kufanya siku za nyuma.
Jiamini hakuna mamlaka yeyote ya kipepo yenye itakayofakiwa kuvuruga maisha yako ikiwa unamuamini Mungu wa Mbinguni.
Wazee wa miujiza uchafu unaokutoka wewe usiombe uende kwa mtu mwingineMfano wa kunuia;
Nanuia kupitia dawa hii nyota yangu ing'ae iwe kama nilivyozaliwa,nuksi na mikosi iondoke mbali,milango ya riziki ifunguke,Kama kuna uchawi,mapepo,mizimu wabaya,mashetani,wanga,binadamu wenye vijicho,husda wote washindwe.
Mwili wangu wauogope wanione kama moto.
Na yeyote atakayewaza kunidhuru ama kunifanyia ubaya wowote basi ubaya huo umrudie mwenyewe.
Mizimu, mashetani ni imani, hakuna uhalisia. Leo unadai kumwona mzimu au shetani, kesho unadai mzimu au shetani kakupanda kichwani, unajitambua?Nilikuwa na tatizo kama lako sasa nimeshakuelewa kinachokusumbua.
Kabla sijaanza kukupa somo nahitaji kujua wewe ni kabila gani?
Hapo kuna matatizo ya aina mbili yanayohusiana na hiyo shida yako.
1.Mizimu ya kwenu
2.Mambo ya majini/masheitwan
Ukinipa background yako ndio nitaconfirm kinachokusumbua
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Ndoto ni reflection ya yaliopita au yanayo kuja. Siku nzima anahangaika na maswala ya shule, yawe mazuri au mabaya. Kuyaota si ajabu.Wewe ni mwalimu ,sasa unashangaaje kuota ukiwa shule ?
Kabla sijakujibu naomba kujua umri wako kabla sijajiumiza kichwa changu kukuelezea uzoefu wangu katika hii dunia.Mizimu, mashetani ni imani, hakuna uhalisia. Leo unadai kumwona mzimu au shetani, kesho unadai mzimu au shetani kakupanda kichwani, unajitambua?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Halafu mnaingia kwa paper wenzako wamejiandaa vyakutosha wewe hujajiandaa unashangaa maswali huyaelewi, teh teh teh kisha unafaulu.Hapo kwenye ndoto....sijui maana yake nini. Nami naota sanaaa mara kwa mara nipo shule yani katika siku 7 basi 5 naota nipo shule. Tusubiri wataalamu
Pole kwa yanayokusibu
Nakuja bronjoo inbox nkupeleke kwa mtaalam mmoja iv. hutakaa unixahau
Za siku nyingi jirani....Halafu mnaingia kwa paper wenzako wamejiandaa vyakutosha wewe hujajiandaa unashangaa maswali huyaelewi, teh teh teh kisha unafaulu.
Hata mimi kwakweli, wiki iliyopita nimeota nikiwa shule ya msingi, kuna muda niliota nipo nasoma chuo cha ndani ya nchi, kipindi fulani niliota nasoma nje ya nchi.Mi naona kawaida tu kwakweli, I just thank God....
Ila huwa natamani kuelewa maana ya hii ndoto, kuota mara kwa mara nipo shule.